Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara ya kwanza kutumia smart phone, nimetoka dukani nimefika home nimeicharge battery full nimeingia mtaani, mtu wa kwanza ananipigia ninapress green button, kuna kaka aliniona alikuja kunisaidia kufuta na kidole, oohh.
Umenikumbusha hii kitu aisee, nami smartphone ilinitoa ushamba kipindi hicho ndio zimeingia ingia, sijui ilikua nokia n ngapi vile!!! Kama siku 4sikupokea simu kila ikiita nashindwa kuipokea maana mpaka uislide button ndio ipokeleke, sasa ikiita kila nikibonyeza haipokeleki, kuuliza naona aibu alafu pia nashindwa wa kumuuliza maana wengi hawakuwa nazo, nakumbuka niliulizia watu kama wawili wakawa hawajui. Basi siku hiyo akili ikanijia ikabidi nisome manual ndio nikaelewa. Daah nilivyoweza haki nilijichekaaa.