Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manabii wanasema kwenu kuna laana za ukoo, ukienda utafilisikaKwangu mimi ni ugumu wa maisha
yaani ume kosa nauli au?Kwangu mimi ni ugumu wa maisha
AminaNakutamkia mema na baraka
Njia za mafanikio kwenye kazi, uchumi vifunguke,
Ukutane na mtu sahihi wa kukushika mkono!
Usiache kujitamkia mema, na baraka binafsi kila unapoamka na kulala!
Unachokifanya tia bidii,
Wakumbuke wazazi wako, ukipata sadaka wasaidie hasa wahitaji
Amini
Wee jamaa kwel motivational speakerMkuu ugumu wa maisha kila mtu ana pitia hilo, japo tuna tofautiana hali, ngazi na mazingira tu.
hata Kama una elfu 10, just go home hommie.
familia Ina unganishwa kwa upendo na umoja.
japo pesa ni muhimu ila bila familia hiyo siyo kitu.
ni kheri nishindie ugali na msusa ila as long as niko na familia yetu.
Madini Sanaa 😊Nakutamkia mema na baraka
Njia za mafanikio kwenye kazi, uchumi vifunguke,
Ukutane na mtu sahihi wa kukushika mkono!
Usiache kujitamkia mema, na baraka binafsi kila unapoamka na kulala!
Unachokifanya tia bidii,
Wakumbuke wazazi wako, ukipata sadaka wasaidie hasa wahitaji
Amini
Madini Sana mkuu 😊Mkuu ugumu wa maisha kila mtu ana pitia hilo, japo tuna tofautiana hali, ngazi na mazingira tu.
hata Kama una elfu 10, just go home hommie.
familia Ina unganishwa kwa upendo na umoja.
japo pesa ni muhimu ila bila familia hiyo siyo kitu.
ni kheri nishindie ugali na msusa ila as long as niko na familia yetu.
Safi..hata ID yako inasadifu uyasemayoI was born in Tanga. I'm currently working and living in Tanga . I will die in Tanga .
Nilikuwa Dar nikafanya vitimbi mpaka nikarudi kwetu , napenda kwetu miaka yote .
Nilipata offer ya kukaa ofisi za kikanda zenye pesa kidogo ila wapi , hunipeleki Mwanza , Arusha , Dar wala Mtwara nitafia hapa hapa kwetu.Hata ID yako inasadifu uyasemayo
Nakubaliana na na ww.. m mwenyewe nipo mbali na nyumbani na familia pia aisee naona kila kitu tofautiNilipata offer ya kukaa ofisi za kikanda zenye pesa kidogo ila wapi , hunipeleki Mwanza , Arusha , Dar wala Mtwara nitafia hapa hapa kwetu.
Get out of your comfort zone...nasikia asili ya watu wa Tanga ni wavivu! Huenda umeangukia hapo..Nilipata offer ya kukaa ofisi za kikanda zenye pesa kidogo ila wapi , hunipeleki Mwanza , Arusha , Dar wala Mtwara nitafia hapa hapa kwetu.
Jumanne tu nimeenda kijijini kuwaona wazazi bila hata sent 5 mfukoni tulifurahi tulikula na nikawaambia sina hela yoyote leo mama akazama ndani akaja na ten akaniambia utanunulia wajukuu wangu hata maji njiani si umesema huna hela. Nikaichukua nikiwa na furaha tele.Mkuu ugumu wa maisha kila mtu ana pitia hilo, japo tuna tofautiana hali, ngazi na mazingira tu.