Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Hamna ukweli ,napiga kazi ni mtu wa kuamka alfajiri na kurudi 3 usiku . Tanga ambayo ukilala mpaka saa 2 asubuhi unaambiwa ni tabia mbaya ,kiufupi kasumba mbaya sana kuliko uhalisia.Get out of your comfort zone...nasikia asili ya watu wa Tanga ni wavivu! Huenda umeangukia hapo..
Unavyoamini ni akili ya kitumwa ,kimafanikio niko mbali kidogo kuliko nilipokuwa mkoani ,kiufupi hakuna kipya mikoani. Unavyoamni watu wa Tanga ni wavivu ni sawa na wanaoamini ushirikina🤣🤣.
Kazi wanazofanya watu wa Tanga huwezi hta kidogo ,mtu anayevua usiku wa manane hauwezi kujifananisha nae..
Mimi nafanya kazi siku 7 zote za wiki kwa sababu nina title tatu kwa wakati mmoja .