Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Huu ni uzi maalumu kuelezea tuvitu twa ajabu ajabu ambavyo kila mmoja asipo vifanya vinamnyima uhuru wa kuwa comfortable kwenye mambo yake ya msingi.
Bwana bwana mimi binafasi nina kaugonjwa kangu ninako kaita"Toothpicks disease".
Kutokana na tabia yangu ya muda mrefu ya kupenda kusoma vitabu, makala na majarida mbalimbali nimejikuta katika kaugonjwa kakupenda kuweka toothpick mdomoni.
Haka katiba kamenifanya mpaka kuwa mrahibu wa Toothpicks bila kuweka toothpick mdomoni siwezi kuwa comfortable kusoma wala kufikiri vyema.
Ni makopo kwa makopo ya Toothpicks yanapukutika sio kwa ajili ya kutoa nyama kwenye meno bali kuweka meno tu mdomoni.
Mpaka nauliza hii tabia ninayo mimi peke yangu au kuna watu wengine wanayo ?