Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?
NishaanzaKwahiyo unasubiri tuanze sisi ili tukushawishi na wewe utupe kisa chako!
DuuExcel kukosea hesabu
AisieNiliona mvua inanyesha kuelekea juu! badala matone yaje chini, yanaelekea juu imagine
😳
Alhaj Mwijaku wanamsingizia siyo kweli.Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?
HahahaAlhaj Mwijaku wanamsingizia siyo kweli.