Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?

naonaga kama siku zinajirudia .. Unakuta mfano leo matendo yote yanayotokea nasema hii siku kama naikumbuka ishawahi tokea hivi lakin sjui kwann naonaga hivi
Wewe kama mimi, kuna vitu, watu au maneno najikuta kama nilishaviona ama hiyo siku ilishatokea wakati ndiyo hapo kinafanyika. Huwa inanichanganya na sitakagi kuwaambia watu, wanaweza sema nimechanganyikiwa bure.
 
Hiyo inaitwa Deja'vu
Yes Sure..
Wewe kama mimi, kuna vitu, watu au maneno najikuta kama nilishaviona ama hiyo siku ilishatokea wakati ndiyo hapo kinafanyika. Huwa inanichanganya na sitakagi kuwaambia watu, wanaweza sema nimechanganyikiwa bure.
Deja Vu..kifaransa .. already seen .. Ipitie deep ucheleweshwaji wa ubongo kutafsiri
 
Baba yangu alikua ajui kusoma ndoto zake alitaka nifike lasaba tukauze genge kariakoo , alikua maskini wakutupwa ,mama yangu hajuwi kusoma na kuandika ni maskini wakutupwa yeye alitaka nieshie lasaba niende gereji
Cha kushangaza sasa hivi Nina master na afsa mkubwa jeshini Japo Wazazi wangu hakuniachia chochote zaidi ya upendo

Mzee baba mtu mwenye Masters ndio kuandika kiswahili kunampiga chenga namna hii?
 
naonaga kama siku zinajirudia .. Unakuta mfano leo matendo yote yanayotokea nasema hii siku kama naikumbuka ishawahi tokea hivi lakin sjui kwann naonaga hivi
This kind of imagination happens to me a lot of time... Huwa najiuliza sana yaani kuna siku naiishi alafu nakumbuka mbona hii siku nmewahi kuiota au kuiona siku za nyuma..
 
Wewe kama mimi, kuna vitu, watu au maneno najikuta kama nilishaviona ama hiyo siku ilishatokea wakati ndiyo hapo kinafanyika. Huwa inanichanganya na sitakagi kuwaambia watu, wanaweza sema nimechanganyikiwa bure.
Hunikuta sana hii issue sio mara 1 wala 2 ni mara mingi mingi.. kuna siku naziishi ambazo nahisi nimeziona siku kadhaa nyuma..
 
Baba yangu alikua ajui kusoma ndoto zake alitaka nifike lasaba tukauze genge kariakoo , alikua maskini wakutupwa ,mama yangu hajuwi kusoma na kuandika ni maskini wakutupwa yeye alitaka nieshie lasaba niende gereji
Cha kushangaza sasa hivi Nina master na afsa mkubwa jeshini Japo Wazazi wangu hakuniachia chochote zaidi ya upendo
Pot hivi huko depo mnaionaje hali ya hii nchi? Upepo upoje kwenu? Au na nyie mnatumika?
 
Niliota nikiwa nimelala na kweli nikaota nimelala
 
Nliwambia watu no reform no election ila hawakuamini ..anyway tusubir October
 
Back
Top Bottom