Ni kitu gani cha kijinga ulichokifanya uliposhika hela nyingi kwa mara ya kwanza?

wewe jamaa ulistahili tuzo ya "ubazazi".
maana matendo yako yote ukishika hela
akili yote inahamia uko "centre of gravity".
Hahaha! Mkuu, hela za ghafla huwa zinachanganya sana ukiwa na mawazo mafupi, unakuwa unatamani kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa Nimebadilika sana mpaka Najishangaa.
 
Nilinunua shart 2 kwa laki. Adi siamin min kilnpata sukuile maanake sikua ata nimelewa
 
Hahahahahahaha
 
Niliweka servings. Nikaongezea na kununua nyumba yangu ya kwanza .
Mkuu huo sio uamuzi wa kijinga, kwenye networth unamzidi hadi le madame, aka le endless fame, aka le good sepetua ambae hana hata hema la kwake binafsi @afrodenzi
 
Sita sahau,tulivyopewa mgao wa urithi kila mrithi alipewa milioni ushirini...mm niliwaomba benki hela yangu iwe ni ya chenjichenji yote..basi wakanipa coins za mimia za shilingi milioni 20,mpaka leo ninazo huwa natumia shs 300 kwa siku.ili zisiishe haraka.
 
Boom hilo Piga pombe mbaya na mademu baada ya wk nikafulia nkawa mpole hatari
 
pole sana mdau
 
Dah!! We jamaa hatari sna, kma ikitokea nkafanya vtuko vyote ivo, atasijui ntawezaje kujisamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…