MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Labda ni Rais wa mioyo ya watanzania walioko diaspora ila sio Monduli.Sio fisadi huyo ni rais wa mioyo ya Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ni Rais wa mioyo ya watanzania walioko diaspora ila sio Monduli.Sio fisadi huyo ni rais wa mioyo ya Watanzania
Mmmhhh...we jamaa hunitakii mema kabisa, unataka
mimi niitwe Fisadi mkuu.??
Hilo jina La Fisadi mkuu nani amempachika? Wachaneni na propaganda za @zibaloniSio fisadi huyo ni rais wa mioyo ya Watanzania
Hahaha! Mkuu, hela za ghafla huwa zinachanganya sana ukiwa na mawazo mafupi, unakuwa unatamani kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa Nimebadilika sana mpaka Najishangaa.wewe jamaa ulistahili tuzo ya "ubazazi".
maana matendo yako yote ukishika hela
akili yote inahamia uko "centre of gravity".
hapo sawa mkuu, huo ndio utu uzima wenyewe.Hahaha! Mkuu, hela za ghafla huwa zinachanganya sana ukiwa na mawazo mafupi, unakuwa unatamani kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa Nimebadilika sana mpaka Najishangaa.
ulikuwa umetoka jera....sio bure.Nilinunua ndoo nzima ya maandazi na kula
mbona hii hela MBUZI sana.....kwa shati mbili.Nilinunua shart 2 kwa laki. Adi siamin min kilnpata sukuile maanake sikua ata nimelewa
Hahaha!!! Sio kwamim mkuu, nasfkirii kurud tukio kma lile kwa hii miaka ya karbunmbona hii hela ndogo.....kwa shati mbili.
hapo sawa.Hahaha!!! Sio kwamim mkuu, nasfkirii kurud tukio kma lile kwa hii miaka ya karbun
Samahani mkuu ni jela sio jera.ulikuwa umetoka jera....sio bure.
Mie mpaka leo nikikumbuka najuta sana maana Nililala na madada wanaonizidi umri watatu kwa siku moja na kunywa vilevi vikali siku inayofuata na kulala kwenye mtaru nilishituka saa mbili asubuh tena kwa kushituliwa na watu wakijuwa nimekufaa,,,yani ndani ya siku mbili nikawa nimeshamaliza mil 1000,000/-,,Yani nikikumbuk huwa naumia sana
Mkuu huo sio uamuzi wa kijinga, kwenye networth unamzidi hadi le madame, aka le endless fame, aka le good sepetua ambae hana hata hema la kwake binafsi @afrodenziNiliweka servings. Nikaongezea na kununua nyumba yangu ya kwanza .
@Kidume cha mbegu shukuru kuwa walikuachia hayo marindaHahahahahahaha
pole sana mdauMimi mkuu baada ya kupata m 5 nilizokopa banki nilimpa kaka yangu tufanye biashara yeye akenda dubai kununua nguo baada ya kurudi tu akahama nchi akaelekea msumbiji hadi leo sina mawasiliano.naye na hatujaonana ni miaka 3 sasa na deni bado nadaiwa bank.niliumia san
Dah!! We jamaa hatari sna, kma ikitokea nkafanya vtuko vyote ivo, atasijui ntawezaje kujisameheNilisafiri mkoani kumfuata mwanamke Niliekuwa Nikiota kumpata mpaka Nikawa Naumwa. Tulitumbua raha kwa kuhama hoteli kadhaa za kifahari mkoa ule. Yaani ilikuwa Tukichukua chumba halafu Tv ikazingua au channel za Movies hazieleweki, kesho yake Tunatafuta hoteli kali zaidi na kitu cha kwanza kukagua ni Channels na ndipo mengine yanafuata. Yaani hadi leo huwa Nadata sana na huyu mwanamke maana siinjoi hata kinywaji Nikikumbuka navyoinjoi kunywa nae. Nikarudi Dar bado haikutosha, Nikamtumia Nauli, breki ya kwanza Ilikuwa mitaa fulani inayoongoza kwa Bar na ukahaba hapa Dar ambako Tulikaa kwenye lodge moja kali sana kwa kama siku saba mfululizo Tukitoka night tu. Pesa inazuzua sana usipotulia ingawa binafsi Nachokumbuka ni matukio Niliyowahi kufanya kwa namna ya hatari sana kwa sababu sikumbuki mara ya kwanza kushika pesa nyingi aisee. Huyu Tuliefanya nae hizi vurugu ni mama wa baby wangu sasa na bado yuko ndotoni mwangu, it feels stupid and crazy sometimes.
Kituko kingine Nilichowahi kufanya ni kumfuata msichana kampala ambako Tulitumbua pesa kama vichaa pia kwa wiki mbili. Ingawa Nilikuwa Naishi mwenyewe, Nahisi kosa nililofanya ilikuwa kutomuaga mtu yeyote katika familia yangu.
Kituko kingine Nilichowahi kufanya ni kile Nilichokifanya baada tu ya kutoka kuchukua pakee ya mgao wangu, Nikaenda Tigopesa, Airtel money na M-pesa Nikazijaza laini zote na pesa full. Nikabakiza kama M 1.5 mfukoni, Nikavuka na pantoni kigamboni kuja town. Hapo niko raugh kweli kweli, Nikamchukua taxi driver Nikamuuliza gharama ya kutoka pale hadi Bagamoyo ambako Nilimtanguliza mtu, aliponipa bei, Nikamwambia Tupite Sinza Nijafanye Shopping mpaka ya begi Nikatafuta lodge Nikaoga na kuchange, kisha Tukanyoosha mpaka Bagamoyo. Kilichotokea ni kuwa pamoja na mbwembwe zote hizo, Tuliishia kutibuana na alienisubiri halafu Nikaharibu zaidi baada ya kutongoza mtu mwingine kwa hasira. In short Tuliishia kulala vyumba tofauti na kurudi kila mtu na njia yake. Ila utoto ndio uliochangia kwa kiasi kikubwa.
Nina visa vingi ila hebu wengine wachangie.