Ni kitu gani cha kijinga ulichokifanya uliposhika hela nyingi kwa mara ya kwanza?

Huyo lazma alikuwa mke wa waziri sonyo mkuu


Waziri Sonyo hana mke ana mahawara....mke wa waziri anatongozeka asikudanganye mtu, wengi wao wanaolewa si kwa mapenzi ila kwa ajili ya uhakika wa mlo na matanuzi. Wewe huoni mawaziri (enzi za JK) wakijirusha na vimada na kususa wake zao majumbani? Hivyo, usishangae kwani mwanamke naye ana mahitaji yake ya unyumba.
 
Maeneo ya Shivaz na mnara wa saa Arusha nikiwa secondary shule moja maarufu sanawari..wale wadada wa shivaz na mnara wa saa watakuwa wamenimiss sana au labda wanajua tajiri mtoto alishakufagaa au alipoteleaga wapi..Nilitoa order ya papuchi na nyingine nilipewa free off charge maana nilikuwa customer mzuri no negotiation kwenye upande wa pesa..kuna waliokuwa wako gheto wamepangisha maeneo yale..nilikuwa nikitoka darasani mida ya saa 10 jioni nikibadilisha nguo tu naenda kuwagegeda tu in 4 years..nilikuwa na gram 7 ya Tanzanite niliuza takribani 5M kipindi hicho..nilikula bata kipindi hicho Duh!! Nina matukio mengine ngoja niwape nafasi wengine watoe yalioko moyoni
 
Kwa sababu ya Ukimwi
 
🤣🤣🤣😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Mrejesho mkuu
 
2007 niko shule ya msingi tulitembelewa na Mkuu wa wilaya ya kinondoni wakati huo Kanali Fabian Massawe na Mbunge wa ubungo kipindi hiyo Charles Keenja. Wakaingia wakauliza maswali kadhaa mimi na drmu mmoja hivi tukayajibu vizuri wakatupa 2000 kila mtu mkmi na yule demu. Daaahhh!! Nilipagawa nilipotoka tu class boss mimi kila mtu Gru Gru Gru. Nilikula pesa yote kuanzia saa6 hadi 8 sina kitu nilirudi nyumbani na peasi mkononi ndo naanza kukumbuka vitu vya msingi ambavyo ningenunua. Tangu siku ile nilikoma, nikipata pesa siendi jayo resi.
 
Juzi juzi tu apa . Nilitumbua kama 1m pale Maison kwa kutaka sifa. Alafu asubuhi naamka nina 30k tu
 
Umekulapo kabata mkuu..shukuru[emoji848]
 
Boom nayo ni pesa?
 
Sijapata hela nyingi kiasi cha kuwaza kufanyia anasa ila nadhani siku zikintembelea tu cha kwanza jioni ya hio siku nitatua pale Gran Melia na kukamata Package ya kueleweka. Usingizi+Gym+Spa+Swimming na the next day ni "Brunch" itanihusu 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…