PACHO HERRERA
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 460
- 527
Nilinunua raba za all-star za rangi kama 6 hivi tofauti kwa wakati mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulinunua kiwanja cha pesa hiyo Kabusungu basi kweli hicho ni kitendo cha kijinga 108%Ilikua hela ya NSSF 2.5 m nikaongezea laki 5 nikanunua Kiwanja Mwanza-Kabusungu
Ulimpa zote???Mimi mkuu baada ya kupata m 5 nilizokopa banki nilimpa kaka yangu tufanye biashara yeye akenda dubai kununua nguo baada ya kurudi tu akahama nchi akaelekea msumbiji hadi leo sina mawasiliano.naye na hatujaonana ni miaka 3 sasa na deni bado nadaiwa bank.niliumia san
ulikuwa umetoka jera....sio bure.
Bado ni cha kijinga?Kama ulinunua kiwanja cha pesa hiyo Kabusungu basi kweli hicho ni kitendo cha kijinga 108%
Hapana Mkuu, Hospitali ya wilaya ya Ilemela ipo karibu na hapo na imeanza kufanya kazi, ipo pia miradi kibao ya maendeleo hapo. Hongera sana Mkuu!Bado ni cha kijinga?
Kuna yapi mapya zaidi ya Hospital boss?Hapana Mkuu, Hospitali ya wilaya ya Ilemela ipo karibu na hapo na imeanza kufanya kazi, ipo pia miradi kibao ya maendeleo hapo. Hongera sana Mkuu!
Kuna vyuo vtajengwa hapo, pia nilisikia watajenga gereza huko...kuna rafiki yangu alilipwa fidia ya eneo lake hapo ila nimeshahu ni taasisi gani ya serikali itajengwa hapoKuna yapi mapya zaidi ya Hospital boss?
Atiii vibama nimecheka balaaaaaNakumbuka nikiwa form two alikuja pinda,enzi hizo yupo ofisi ya rais na sio waziri mkuu.
Walipofika nikapewa maiki kukaribisha wageni na kuelezea shule yetu kwa kifupi kwa lugha ya wenzetu.
Basi mzee nikajipinda pale,ulimi ukanyooka fresh maana taarifa nilipewa mapema ili nijiandae .
Basi pinda akavutiwa na jinsi nilivyowasilisha na nilivyokuwa natembea kwa madaha ,Pinda akajua hiki kichwa kinajua lugha kumbe mimi nmekesha siku mbili kwenye kioo nikifanya mazoez.
Akanipa ef20.hiyo ef 20 nilinunua mandazi ,vibama na bagia wanangu wakawa wananiita kibopa,
Kufika jioni nina ef7,nikaenda kununua viatu vya mpira wa miguu viliandikwa cosovo,sisi tuliviita njumu.
Nilijuta sana maana siku zote nilikuwa nataman kununua viatu vya basketball vya ef20 mtumban ,ila nilipopata pesa nikasahau nikaishia kununua njumu
😆😆😆😆😆😆😆😆😆Huyo mbuzi mwache tu ale majani😆😆😆😆Nilivuka mto hatari sana unaoenda kasi,
sharti kubwa utembee kwa kutanua miguu majini, unapovuka mkuu. yaani maji mengi ya shingo! ukikanyaga kibonde kidogo tu down umeenda! ili kufika ng'ambo ya pili ya mto palipo na dawa,
Lengo langu nika mloge mtu wangu aliyenotoroka arudi tuishi! kilicho nisikitisha ni kuwa wala hata hakurudi ndo kwanza kabebwa na mwingine.
Na mtu niliye kuwa namhangaikia mbaya zaidi kuliko yote hana kazi, hana hela, hana Elimu, Hata ile ya Darasa la saba tu, mwandiko wake ni kituko, kusoma hajui, yaani ni mzigo kwa kwenda mbele!
Wakazi wa mbeya wanavijua vyema sana hivyoAtiii vibama nimecheka balaaaaa