Ni kitu gani cha kijinga umewahi kufanya in the name of love?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Niliwahi kumkopesha kijana hela tufanye biashara ya duka la bidhaa za nafaka. Makubaliano ni kila mtu achange milioni 1.5 alafu faida tutakuwa tunagawana huku akiirudisha ile pesa yangu kidogokidogo. Kipindi hicho niko chuo nikatuma millioni kwanza ilikuwa ni ada. Mimi niko chuo Dar yeye yuko Arusha anafanya mishe zake. Kumbe nimempa mwenzangu hela ya kwenda kumlipia mahari mke wake mtarajiwa.

Sasa rafiki yake akanidokeza siku nikaondoka dar na basi la usiku nikafika Arusha nilikuwa na funguo ya kwake nikazuga stendi hadi mida ya saa mbili kaenda mishemishe nikafungua tv yake alinunua millioni 1 na kama laki 3 hivi. Nikapiga picha nikamwambia nitumie hela yangu au naondoka na hii tv. Aliituma ile hela yote nikaondoka zangu kurudi Dar nikambloku. Hii situation iliniumiza sana lakini kuna kitu nilijifunza
 
Mara ya kwanza ulitumia akili mnemba!, baadae ndo ukatumia akili ya kibinadamu!..😅
 
Niliwahi kumkopesha kijana hela tufanye biashara ya duka la bidhaa za nafaka. Makubaliano ni kila mtu achange milioni 1.5 alafu faida tutakuwa tunagawana huku akiirudisha ile pesa yangu kidogokidogo. Kipindi hicho niko chuo nikatuma millioni kwanza ilikuwa ni ada. Mimi niko chuo Dar yeye yuko Arusha anafanya mishe zake. Kumbe nimempa mwenzangu hela ya kwenda kumlipia mahari mke wake mtarajiwa.

Sasa rafiki yake akanidokeza siku nikaondoka dar na basi la usiku nikafika Arusha nilikuwa na funguo ya kwake nikazuga stendi hadi mida ya saa mbili kaenda mishemishe nikafungua tv yake alinunua millioni 1 na kama laki 3 hivi. Nikapiga picha nikamwambia nitumie hela yangu au naondoka na hii tv. Aliituma ile hela yote nikaondoka zangu kurudi Dar nikambloku. Hii situation iliniumiza sana lakini kuna kitu nilijifunza
Nlimsomesha mwanamke chuo cha ushirika, yaliyonikuta ni siri yangu
 
Bado kuna siku utaenda hadi kigoma😂
Hahaha never

Yaan nimejifunza, akiwa mbali binti kuliko kuchoma nauli paka huko, ni Bora Ile nauli niigawe nusu Kwa MTU WA karibu nipate huduma kisha, nyingine nisave
 
Back
Top Bottom