Hahahaha poleHahaha never
Yaan nimejifunza, akiwa mbali binti kuliko kuchoma nauli paka huko, ni Bora Ile nauli niigawe nusu Kwa MTU WA karibu nipate huduma kisha, nyingine nisave
Du inaumiza sana, Pole sana chiefSarah (sio jina halisi) matako yako, unaniomba hela ya nauli uende Dar kwenye send off ya binamu yako kumbe ni wewe ndio unaenda kuolewa ndezi kabisa wewe
Akili zako Sasa!!!
Pole, yatapita.In the name of love protect my heart from every heart break kwakwel Ata siamin 💔💔😹
AsantePole, yatapita.
Au mimi sijaelewa. Mleta mada ni Ke au Me. Aliefatwa Arusha ni Me.Nje ya maada
Umesha pata mwingine au Jimbo lipo wazi??
Kusafiri kutoka DSM kwenda Arusha kumfuata yeye, wakati mabinti wamejaaa kila sehem dar
My favorite enemy, una hasira 😁😂Kama ningekuwa mimi baada ya kutuma hela ningeondoka na TV pia iwe kama mafao.
Let's do it again...Akili zako Sasa!!!
Any day anytime lo.Let's do it again...
Maujinga kama yote...Any day anytime lo.
Unamsomesha chuo cha ushirika ,unategemea nini sasa hapo?Nlimsomesha mwanamke chuo cha ushirika, yaliyonikuta ni siri yangu
Una ujinga ujinga wako Fulani... Mtram balsa🤭🤭Maujinga kama yote...