Ni kitu gani cha kijinga umewahi kufanya in the name of love?

Ni kitu gani cha kijinga umewahi kufanya in the name of love?

Tulielewana na Mke wa mtu tukutane Lodge nikatuma Nauli na yapongezi dadadeki manzii akaniblock🤣🤣 nilimind sana, miezi mitatu nazurula zangu mjini nikakutananao na Mme Wake🤣🤣tukasalumiana nao afu akonesha kunichekaa ila nikakazaatu.
 
Nilimchapa makofi dem mmoja, kisa alikua ananipenda na alieneza habari kitaa kuwa anatembea na mimi, wakati mm nina dem mwingine pale kitaa. Kila nikikumbuka huwa najiona bonge la fala yan
 
manzi wangu wa Makambako aliniambia kanimic na nilivokuwa mjinga nikachoma nauli toka Masasi kuifuata papuchi kilichonikuta!!👿 ila basi tu wanawake ni mashetani!!
 
Back
Top Bottom