Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Hahahaha vibaya hivyoKama ningekuwa mimi baada ya kutuma hela ningeondoka na TV pia iwe kama mafao.
Umeelewa lakini alichoandika?Nje ya maada
Umesha pata mwingine au Jimbo lipo wazi??
Kusafiri kutoka DSM kwenda Arusha kumfuata yeye, wakati mabinti wamejaaa kila sehem dar
We tunakujua ni mchawi!.Kama ningekuwa mimi baada ya kutuma hela ningeondoka na TV pia iwe kama mafao.
Wewe ndio hujaelewa nilicho kiandika.Umeelewa lakini alichoandika?
Mara ya kwanza ulitumia akili mnemba!, baadae ndo ukatumia akili ya kibinadamu!..😅Niliwahi kumkopesha kijana hela tufanye biashara ya duka la bidhaa za nafaka. Makubaliano ni kila mtu achange milioni 1.5 alafu faida tutakuwa tunagawana huku akiirudisha ile pesa yangu kidogokidogo. Kipindi hicho niko chuo nikatuma millioni kwanza ilikuwa ni ada. Mimi niko chuo Dar yeye yuko Arusha anafanya mishe zake. Kumbe nimempa mwenzangu hela ya kwenda kumlipia mahari mke wake mtarajiwa.
Sasa rafiki yake akanidokeza siku nikaondoka dar na basi la usiku nikafika Arusha nilikuwa na funguo ya kwake nikazuga stendi hadi mida ya saa mbili kaenda mishemishe nikafungua tv yake alinunua millioni 1 na kama laki 3 hivi. Nikapiga picha nikamwambia nitumie hela yangu au naondoka na hii tv. Aliituma ile hela yote nikaondoka zangu kurudi Dar nikambloku. Hii situation iliniumiza sana lakini kuna kitu nilijifunza
If Time Will Be On My Side,,I Will Be Back,,I real Miss YouIn the name of love protect my heart from every heart break kwakwel Ata siamin 💔💔😹
Aliacha mabinti gani Dar sasa wakati na yeye ni binti na Arusha alimfata mpenzi wake wa kiumeWewe ndio hujaelewa nilicho kiandika.
Rudi kasome vzr.
Nlimsomesha mwanamke chuo cha ushirika, yaliyonikuta ni siri yanguNiliwahi kumkopesha kijana hela tufanye biashara ya duka la bidhaa za nafaka. Makubaliano ni kila mtu achange milioni 1.5 alafu faida tutakuwa tunagawana huku akiirudisha ile pesa yangu kidogokidogo. Kipindi hicho niko chuo nikatuma millioni kwanza ilikuwa ni ada. Mimi niko chuo Dar yeye yuko Arusha anafanya mishe zake. Kumbe nimempa mwenzangu hela ya kwenda kumlipia mahari mke wake mtarajiwa.
Sasa rafiki yake akanidokeza siku nikaondoka dar na basi la usiku nikafika Arusha nilikuwa na funguo ya kwake nikazuga stendi hadi mida ya saa mbili kaenda mishemishe nikafungua tv yake alinunua millioni 1 na kama laki 3 hivi. Nikapiga picha nikamwambia nitumie hela yangu au naondoka na hii tv. Aliituma ile hela yote nikaondoka zangu kurudi Dar nikambloku. Hii situation iliniumiza sana lakini kuna kitu nilijifunza
Ukuje mapema❤️If Time Will Be On My Side,,I Will Be Back,,I real Miss You
Bado kuna siku utaenda hadi kigoma😂Nje ya maada
Umesha pata mwingine au Jimbo lipo wazi??
Kusafiri kutoka DSM kwenda Arusha kumfuata yeye, wakati mabinti wamejaaa kila sehem dar
Ubaya ubwelaHahahaha vibaya hivyo
Shaka Ondoa Anastanze...!!Ukuje mapema❤️
Sijasema yeye.Aliacha mabinti gani Dar sasa wakati na yeye ni binti na Arusha alimfata mpenzi wake wa kiume
Hahaha neverBado kuna siku utaenda hadi kigoma😂