Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ni sigara za Embassy za ufilipino😂🤔Niliwahi kuona
Jamaa wa kwanza alikuwa na kibao Cha ubalozi wa ufilipino ndani
View attachment 3177539
Wa pili ni demu ana mashuka yameandikwa PRISON ROOM 4.
Wewe ulikutana na nini?
Ataolewa hata kwa lazima
Suka wa haice.. kaona sio kweli gari Sina, matairi Sina hata kiti😁😁
Haya tumeshayazungumza humu mbona. Kuna jamaa alisema alikuta bendera ya Taifa na imefungwa karibu na kitanda. Alijiuliza huyu jamaa aliipataje na Wala hahusiki na kazi yoyote ya serikali.
Kuna wana wamepinda, sijui aliing'oa vipi an 🤣Huyu kwake ikifika night ni kama pub
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuta chumbani kwa demu ana chupi kubwa hata wakiwa watatu wanaivaa.
Sijui alikuwa anaivaaje au.. sikuelewa.