Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Maskani mimi wageni wangu wanashangaa kuona nimepiga picha na viongozi wengi sana wa hapa Tanzania, mataifa jirani kama Malawi, Zambia, Msumbiji, Kenya, Uganda, Na Rwanda hapa ndio jamaa wanashangaa nilipiga picha na General James Kabarebe when he was just 40 years old (my favourite memory of all time) The Great James of Great Lakes, Long live Gen Kabarebe. The warrior of the battle of Kisangani