Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Yaaaaaaap!! Tang nilikuwa mtoto, nakumbuka mam aliniambia, kama unataka mwnamke mzuri na maisha mazuri basi soma, ila jibu la kwnz ndo nikaondoka nalo, mwnamke mzuri, zen nikimuuliza, ivi baba naye kusoma ndo maana kakupata ww? Aksema Ndio, Daah!! Na of course ni kwl, Sasa ivi nina kinchupa hatareeeee!!!!!!!
 
Mimi sipendi kucheua aah huwa najiskia vibaya, mbaya zaidi niwe nimekula yai la kuchemsha ooh huwa siku yangu inaharibika kabisa
 
Back
Top Bottom