hassan kisabya
Senior Member
- Jun 14, 2014
- 165
- 109
[emoji38] [emoji38] [emoji38] we utakuwa chapombe bila shakaStipend kutumia jf ila inanibidi tu..
Sipendi kula na kunya..no kunywa
Situmii soda wala kilevi chochote only juice has a mtobe..[emoji38] [emoji38] [emoji38] we utakuwa chapombe bila shaka
[emoji15] [emoji87] mi nilijua kodi ya nyumba![emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani ukijenga kodi hulipi?
Umenichekesha kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
GoodKufanya makosa!
Hata mi inanitokeaga hiyooKulala wakati sina usingz halaf watu wote wamelala ndani so unajikuta kama mwanza then inabid ulale kinguvu mana asbh job lazima usinzie
Yani unakua kama mwanga yani usingiz hauji haswa ukiwa na stress huwa najutaga kwann usiku uliwekwa[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mi inanitokeaga hiyoo
Naogopaga hatare
[emoji15] [emoji87] mi nilijua kodi ya nyumba![emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani unakua kama mwanga yani usingiz hauji haswa ukiwa na stress huwa najutaga kwann usiku uliwekwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nn hivyo?ku4giwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara ya mwisho kulipa kodi ni pale tulipokuwa tumepanga baaasi hiki kibanda chetu hatjawahi kukilipia kodi labda mpaka waje kutukamataUnamaanisha kodi ya pango? Unayolipa kwa mwenye nyumba?
Hata nyumba yako uloijenga mwenyewe na uishiyo mwenyewe inalipiwa kodi.
kufoji chetyNdio nn hivyo?
Ahaaa poakufoji chety
Sipendi kula na huwa inafikaga stage nachoka kutafuna kabisaaKatika maisha yetu hapa duniani kuna vitu ambavyo tumeumbiwa na ni lazima tuvifanye,
Mfano: Kula, kulala,kuoga n,k
Sasa kuna vingine huwa tunafanya tu kwasababu ni lazima ila hatuvipendi sasa tutaje vile ambavyo hatuvipendi mimi sipendi kujamba kwa kweli[emoji38]
Sijui wewe hupendi nn?
Nilijua Niko mwenyewe kumbe tupo wengiHata mm naizimia balaa[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sipendi kula na huwa inafikaga stage nachoka kutafuna kabisaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we kibokoSipendi kula na huwa inafikaga stage nachoka kutafuna kabisaa