Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #41
[emoji38] [emoji38] [emoji38] hata mi nimeshangaaWe kibibi gagula Mp ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] hata mi nimeshangaaWe kibibi gagula Mp ndo nini?
Kumbe we ni kibibi!!!!Member of parliament
Pole mkuuSipendi kuandika basi tu hamna namna.
[emoji1] wee kula tena mmmhKula
Unatamani km usiku usingekuwepo ili uzisake saa 24Siipend njaa/kula.niko busy natafta mkwanja
Menstruation period (MP)[emoji38] [emoji38] [emoji38] hata mi nimeshangaa
Mi kibabu bana utamuweza huyo chaliiKumbe we ni kibibi!!!!
Mi nilidhani me
Huwa nahangaika nyie acheni tu,kwenda kukojoa mawazo aisee hapo ndipo nawatamanigi wanaumeMenstruation period (MP)
Dinazarde hapendi kuingia period
Wanakuongelesha niniSipendi mtu aniongeleshe yaani huwa nachukia sana mtu wa kunifata na kuniongelesha kila mara.
Chochote hata mambo ya kawaida huwa sitaki napenda kuwa mwenyewe na kutulia bila kelele za mtu.Wanakuongelesha nini
Kuna mwanamke asiyejua maana ya Mp??? Huyu husna inabidi tumfanyie uchunguziMenstruation period (MP)
Dinazarde hapendi kuingia period
Hahahakama hupendi kujamba usipende na kula pia
Unawaponda wazazi wako ujueKugegedana
Ile kitu ni hatariHuwa nahangaika nyie acheni tu,kwenda kukojoa mawazo aisee hapo ndipo nawatamanigi wanaume
Kwa kweli uchunguzi ufanyikeKuna mwanamke asiyejua maana ya Mp??? Huyu husna inabidi tumfanyie uchunguzi