Ni kitu gani 'EX' wako alisema kuhusu wewe mlivyoachana na kilikufedhehesha?

Bora hata wewe mliachana, mimi baada ya raundi tu, Aliniambia wewe mbona unawahi sana tofauti na wenzako😂😂

Oyaa nilichoka japo nilivunga ila moyoni ilinichoma, kutafakari nikagundua ni kweli😂, dakika 0 nyingi wakoloni hawa hapa

Kesho yake tu nilitafuta kiatu na bukta ikawa ni mwendo wa tizi na pumzi, mpaka kesho uzembe uzembe sitaki na diet changanya na mimbogamboga na matunda kama yote

Nashukuru alinisanua akanijuza nichangamke, sipati picha tungeachana angenipaka vipi😂

Wajameni tukaze buti, ukipewa fanya kama kazi, kama hutaki usiombe

Ila ukiomba ukapewa hakikisha unanyoosha goti kweli kweli, kuna watu tumeachana ila hata leo tukionana tunaheshimiana sababu mziki wanaujua.
 
Oyaa weee😅😅 nimecheka kwa sauti
Kwani nyie wa hivo mnawatoaga wap?
 
Alikua anakwambia ameridhika coz ulikua unamchosha tu. Nani amekwambia kutwanga twanga ndio kumridhisha.😏
Btw Sijakua na Ex, no Story
Nikuulize we kama ni she kitu kipi hua kina kuridhisha au kama yeye ni mwanaume kipi hua unakifanya kumridhisha na unakua na uhakika karidhika?

Usiwe na porojo..ila ukiwa unanijibu kaa ukielewa wanawake hawajulikani kipi hua kinawaridhisha.

Answer me now!
 
Pole mkuu

Aaahaaa

Miye aliniambia we ni handsome ila Hela huna

Tafuta kwanza Hela ndo uje
 
Oyaa weee😅😅 nimecheka kwa sauti
Kwani nyie wa hivo mnawatoaga wap?
Ni zile dizaini ya pisi fulani hivi makuzi ya kitaa tu, sio za kishua wala nini kawaida tu, madela ya hapa na pale na uswazi mwingi😂

Kama hujawahi pata hizo jaribu, japo sio ile mikurubembe iliyoshhindikana ya kitaa, ile jau inapigisha sana kwa boda na wahuni wengine😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…