Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Unaona ulivyo mweupe 🤣🤣 maswali Gani haya unauliza, na unategemea nikujibu uziite porojo tena🙄🙄Nikuulize we kama ni she kitu kipi hua kina kuridhisha au kama yeye ni mwanaume kipi hua unakifanya kumridhisha na unakua na uhakika karidhika?
Usiwe na porojo..ila ukiwa unanijibu kaa ukielewa wanawake hawajulikani kipi hua kinawaridhisha.
Answer me now!