Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Ni kitu gani hujawahi kufanya?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Mtani.[emoji119]
Ujue kipindi kile najiunga JF ndiyo mambo yako hayo yalikuwa moto balaa....
Nilikuwa nakuogopa Mtani[emoji1787]
Hahahaha[emoji23] nimekuwa mwema sasa naamini sasa tuko powa mtani[emoji817][emoji818][emoji1545][emoji1787]
 
Au basi
Screenshot_20201108-135044.jpg
 
Mimi sijui Nina tatizo gani, Yaani kila ninapolala na mwanamke bila kutumia Kinga lazima nimpe ujauzito, kwa wanawake 13 ambao nililala nao bila kutumia Kinga niliwapa mimba na wote walijifungua watoto k'o saivi Nina watoto 13 na bado sijaoa bado🤔

Sijawahi lala na mwanamke bila kinga nikakosa kumtia mimba.Cha ajabu Zaidi watoto wote Ni wasichana na wote wananifafana mimi
 
Mimi sijui Nina tatizo gani, Yaani kila ninapolala na mwanamke bila kutumia Kinga lazima nimpe ujauzito, kwa wanawake 13 ambao nililala nao bila kutumia Kinga niliwapa mimba na wote walijifungua watoto k'o saivi Nina watoto 13 na bado sijaoa bado[emoji848]

Sijawahi lala na mwanamke bila kinga nikakosa kumtia mimba.Cha ajabu Zaidi watoto wote Ni wasichana na wote wananifafana mimi
Kwa hiyo.....???
 
Uzi ungekuwa wa kufurahisha sana kama mambo ya ngono yasingeingia saaana anyway sijawai;
Kunywa pombe mbali na mbenge nikiwa pre primary ilikuwa inapikwa kwa jirani na tulikuwa tunashiriki kumenya ndizi [emoji23][emoji23].

Kunywa energy drink yyte kuanzia guiness mpaka hizi malta

Kuvuta sigara

Kupanda treni kwa Safari ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.

Kuwa wa kwanza shule ya msingi.

Kuanzisha ugomvi.

Kumiliki chombo cha usafiri mbali na miguu[emoji23][emoji23]

Kupendwa kimahusiano kwa dhaaaati mpaka kufahamu.

Kuibiwa au kukabwa na vibaka au panya road.
Kupanda ndege

Kuogelea / kupiga mbizi.

Kushiriki uchawi.
 
Mimi sijui Nina tatizo gani, Yaani kila ninapolala na mwanamke bila kutumia Kinga lazima nimpe ujauzito, kwa wanawake 13 ambao nililala nao bila kutumia Kinga niliwapa mimba na wote walijifungua watoto k'o saivi Nina watoto 13 na bado sijaoa bado[emoji848]

Sijawahi lala na mwanamke bila kinga nikakosa kumtia mimba.Cha ajabu Zaidi watoto wote Ni wasichana na wote wananifafana mimi
Kwahiyo kuna making maza 13 mjini dah
 
Back
Top Bottom