Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Nishaendesha vifaru,nishaendesha kila kitu kasoro ndege tuu natamani sana siku niendeshe ndege
 
Ni kitu ambacho wengi wanaamini wanawake siku hizi tumegeuza fashion.

Yaani tugeuze fashion kitu ambacho wanaweza kupeana wanaume kwa wanaume😆😆😆
Wajigeuziage tuu wenyewe kwa kweli, au haifiki🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Wewe huyu mrembo alikuwa anataka kuchangamsha genge so wacha na sie tuchangamshe genge nae🤣🤣🤣🤣

Kuna siku utakuja kitofauti humu
Subiri ukutana na mwenye aliyekuumba🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom