Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Sijawahi kumtoa mwanamke bikira. Sijui Raha au shida yake
 
Ka comment kwenye uzi wa mambo ya kanisani mkuu.
 
Mimi vingi sana sijawahi, ila ambavyo natamani sana kufanya: (kwahiyo bado sijafanya)

-kuruka na parachute na scuba diving (Zanzibar)
-kupanda treni (ata ili la dar sijawahi)
-kupanda Kilimanjaro mountain

ivyo vitatu najua nikikaza naweza, umasikini na budge tu..

On my dreams..

Kuendesha F1 cars, F18 hornet, kuvaa Mark IV harmor, wtf????
 
Sijawahi kumtoa mwanamke bikira. Sijui Raha au shida yake
Hakuna raha yoyote na lile ni agano, ukimtoa mwanamke bikira mmekuwa mwili mmoja, na ndiyo maana imani nyingi zinasisitiza tendo la ndoa mpaka mkifunga ndoa. Na ndiyo maana mwanamke akiolewa na ambaye hakumtoa usichana wake lazima mahusiano yawe na taharuki.
 
Twende nikupeleke Znz ukaruke na Parachute, Scuba Diving, Riding Horse, Swim with Turtles, and all the fun.... Gharama zangu.

Sharti: Usiwe na Kitambi.
 
Twende nikupeleke Znz ukaruke na Parachute, Scuba Diving, Riding Horse, Swim with Turtles, and all the fun.... Gharama zangu.

Sharti: Usiwe na Kitambi.
Dah. Ngoja nianze kwenda gym nijaribu kukitoa aisee..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…