Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Uzi ungekuwa wa kufurahisha sana kama mambo ya ngono yasingeingia saaana anyway sijawai;
Kunywa pombe mbali na mbenge nikiwa pre primary ilikuwa inapikwa kwa jirani na tulikuwa tunashiriki kumenya ndizi [emoji23][emoji23].

Kunywa energy drink yyte kuanzia guiness mpaka hizi malta

Kuvuta sigara

Kupanda treni kwa Safari ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.

Kuwa wa kwanza shule ya msingi.

Kuanzisha ugomvi.

Kumiliki chombo cha usafiri mbali na miguu[emoji23][emoji23]

Kupendwa kimahusiano kwa dhaaaati mpaka kufahamu.

Kuibiwa au kukabwa na vibaka au panya road.
Kupanda ndege

Kuogelea / kupiga mbizi.

Kushiriki uchawi.
Ka comment kwenye uzi wa mambo ya kanisani mkuu.
 
Mimi vingi sana sijawahi, ila ambavyo natamani sana kufanya: (kwahiyo bado sijafanya)

-kuruka na parachute na scuba diving (Zanzibar)
-kupanda treni (ata ili la dar sijawahi)
-kupanda Kilimanjaro mountain

ivyo vitatu najua nikikaza naweza, umasikini na budge tu..

On my dreams..

Kuendesha F1 cars, F18 hornet, kuvaa Mark IV harmor, wtf????
 
Sijawahi kumtoa mwanamke bikira. Sijui Raha au shida yake
Hakuna raha yoyote na lile ni agano, ukimtoa mwanamke bikira mmekuwa mwili mmoja, na ndiyo maana imani nyingi zinasisitiza tendo la ndoa mpaka mkifunga ndoa. Na ndiyo maana mwanamke akiolewa na ambaye hakumtoa usichana wake lazima mahusiano yawe na taharuki.
 
Mimi vingi sana sijawahi, ila ambavyo natamani sana kufanya: (kwahiyo bado sijafanya)

-kuruka na parachute na scuba diving (Zanzibar)
-kupanda treni (ata ili la dar sijawahi)
-kupanda Kilimanjaro mountain

ivyo vitatu najua nikikaza naweza, umasikini na budge tu..

On my dreams..

Kuendesha F1 cars, F18 hornet, kuvaa Mark IV harmor, wtf????
Twende nikupeleke Znz ukaruke na Parachute, Scuba Diving, Riding Horse, Swim with Turtles, and all the fun.... Gharama zangu.

Sharti: Usiwe na Kitambi.
 
Twende nikupeleke Znz ukaruke na Parachute, Scuba Diving, Riding Horse, Swim with Turtles, and all the fun.... Gharama zangu.

Sharti: Usiwe na Kitambi.
Dah. Ngoja nianze kwenda gym nijaribu kukitoa aisee..

images.jpeg
 
Back
Top Bottom