Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu

ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii


ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii


