rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Malezi ndio yanachangia kwa kiasi kikubwa.
Kwa mtu mstaarabu aliyelelewa vizuri hawezi kutukana ovyo
Kwa mtu mstaarabu aliyelelewa vizuri hawezi kutukana ovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 dahWe kenge usituletee uzi wa boya
Sasa kwa mfano mtu akimpinga mzalendo nambari moja Ndugu Mpina luhaga mtu kama huyo anakosaje kuoga matusi?Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu![]()
ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii![]()
Mambo yameanzana.Tayari kinapwita, yani bila kuniona hupati raha.
Waulize wazaramo.Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu![]()
ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii![]()
Kama unadharau wenzako na kupuuza haki zao lazima utukanweNi hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu![]()
ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii![]()
Huko mbauda Arusha kuna pacha wa kiume alikufa akamwacha pacha wa kike. Sasa makaburini kabla ya kuzika yule pacha wa kike alikuwa akilia kwa uchungu sana kwa nini Mungu kamchukua pacha mwenzake kwanini asingemchukua yeye akambakiza marehemu. Mara pacha marehemu kwenye jeneza akafungua na kuamka na kukang'aka qqmmayoo njoo sasa uchukue nafasi yangu maaamaeee baadaye akalala na kufunga jeneza. Watu wote tulitoka baru pamoja na pacha wa kike.Nakukumbuka kipindi tuko primary tulikua na kikundi chetu tukapinga mchezo unaitwa kutukana no. Ukitukana unachezea makwenzi.
Sasa ile tumemalize kupinga tu nikasikia "Kmmk sasa atukane mtu aone..." Hahah tukaanza nae.
hapa unatuchota mchana kweupe kabisa gentleman dahHuko mbauda Arusha kuna pacha wa kiume alikufa akamwacha pacha wa kike. Sasa makaburini kabla ya kuzika yule pacha wa kike alikuwa akilia kwa uchungu sana kwa nini Mungu kamchukua pacha mwenzake kwanini asingemchukua yeye akambakiza marehemu. Mara pacha marehemu kwenye jeneza akafungua na kuamka na kukang'aka qqmmayoo njoo sasa uchukue nafasi yangu maaamaeee baadaye akalala na kufunga jeneza. Watu wote tulitoka baru pamoja na pacha wa kike.
Hii story ya kweli kabisa nilishuhudia na macho yangu.

😂😂 natania tuu ndugu yangu, mwenyewe matusi sipendi ila sometimes bila matusi na jazba mambo hayaendi.siwezi kutukana wala mihemko sinaga, tulianzishe nini sasa gentleman
Sijui anatuchukuliaje jamaahapa unatuchota mchana kweupe kabisa gentleman dah![]()