Tayari kinapwita, yani bila kuniona hupati raha.Bingwa wa matusi humu ni huyu Dr Matola PhD muulize kipi huwa kinamsukuma kuporomosha matusi huku akijiita Dr.
kwani we hujawahi kukereka..? hujawahi kufika hatua hasira zikakupanda kisa kero za mtu! yanashukaga tu from no where!..😀ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu
ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii
Afya ya akilini hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu
ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii
Yes, Yaani anaona mawazo/mtazamo wake ni Alpha na Omegakwamba mtua anakua ameathiriwa na kitu inaitwa sense of perfections, right?
kwamba anaona hakuna hoja, msimamo au idea bora na sahihi zaidi yake, right?
nina hisia na ninakerekaga sana,kwani we hujawahi kukereka..? hujawahi kufika hatua hasira zikakupanda kisa kero za mtu! yanashukaga tu from no where!..😀
Kwa sababu wana akiba kubwa ya matusi mioyoni mwao.Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho sio ustaarabu wa waliopitia na kuzingatia vizuri malezi ya wazazi, malezi ya kiroho na ya kimwili kupitia jamii inayo mzunguka, pamoja na malezi na mafunzo kule chekechea, shule ya msingi, sekondari na hata vyuo vya elimu ya juu
ladies and gentlemen,
kwanini matusi na matukano kwenye mijadala ya kiungwana na kustaarabu kwemye platfoms za kijamii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari kinapwita, yani bila kuniona hupati raha.