Ni kitu gani huwa kina mchochea mtu kutukana na kuporomosha matusi

Niliwahi kuwa na mwanamke katika harakati za ujana. Alikuwa na vigezo vyote kasoro mdomo mchafu anaongea kama redio nikaona ya nini kufa mapema nikiwa bado kijana. Nikasepa zangu
 
Sasa kwa mfano mtu akimpinga mzalendo nambari moja Ndugu Mpina luhaga mtu kama huyo anakosaje kuoga matusi?
 
Nakukumbuka kipindi tuko primary tulikua na kikundi chetu tukapinga mchezo unaitwa kutukana no. Ukitukana unachezea makwenzi.

Sasa ile tumemalize kupinga tu nikasikia "Kmmk sasa atukane mtu aone..." Hahah tukaanza nae.
 
Waulize wazaramo.
 
Kama unadharau wenzako na kupuuza haki zao lazima utukanwe
 
Nakukumbuka kipindi tuko primary tulikua na kikundi chetu tukapinga mchezo unaitwa kutukana no. Ukitukana unachezea makwenzi.

Sasa ile tumemalize kupinga tu nikasikia "Kmmk sasa atukane mtu aone..." Hahah tukaanza nae.
Huko mbauda Arusha kuna pacha wa kiume alikufa akamwacha pacha wa kike. Sasa makaburini kabla ya kuzika yule pacha wa kike alikuwa akilia kwa uchungu sana kwa nini Mungu kamchukua pacha mwenzake kwanini asingemchukua yeye akambakiza marehemu. Mara pacha marehemu kwenye jeneza akafungua na kuamka na kukang'aka qqmmayoo njoo sasa uchukue nafasi yangu maaamaeee baadaye akalala na kufunga jeneza. Watu wote tulitoka baru pamoja na pacha wa kike.

Hii story ya kweli kabisa nilishuhudia na macho yangu.
 
hapa unatuchota mchana kweupe kabisa gentleman dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…