Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dear bht ooh sorry my cousin but if you dont mind its my pleasure
Tuendelee kula raha jamani
usijali!hauta sapu wala kukerri!wala disko!MIMI NA SHEMEJI TUMESHAKUELEWA!jiandae kwa phase 11 ya the same mada,mwakani!tutakuja na uchambuzi wa kina kuhusu matatizo yenu na yanayowashangaza(probably na solutions tutawapa)...to be continued.....Goeff na Xpini mi leo hata sapu wala ripiti a year siioni ni disco moja kwa moja. mada ngumu kwangu
Goeff na Xpini mi leo hata sapu wala ripiti a year siioni ni disco moja kwa moja. mada ngumu kwangu
Ziondaughter
Location: Church
ZD i worry Baba Paroko akipita kama guest akakukuta huku sijui jioni utaenda kujitetea vipi? Chrispin atakuruka
Tunakushukuru kwa kukufahamu Miss Speechless and motionless after vululuvululu girl! Bila hii sredi tungekujuaje bana!
haaaaaa (THE UNDERLINED MAN) duh unajimu wako feki Iribini, thanks to mpwa Goeff amenisoma vilivyo
kuna mshikaji alitafuniwaga kipusa wake na Mchunga kondoo mmoja, toka siku hiyo not reachable in the church, just imagine hawa wachunga kondoo wanawafanya hadi waumini wanakimbia nyumba za ibada. Mwe! Hata mimi i dont trust them to that extentHahaha! Hakuna watu naowaogopa kama hao watu mpwa! Hatari sana wale! LOL!
Currently Active Users Viewing This Thread: 45 (19 members and 26 guests) Sipo, Bebeku, bht+, Bonge, carmel, chimunguru, Chrispin+, compressor, herikujua, Iza, Kisusi Mohammed, Monicam, Shishi, Shishye, TreasureFred, Tshala, Ziondaughter
Jamani look at red there, wametoka wapi hawa leo???
Haya wakuu mie kitu kinachonishangaza ni mtindo wa My wife, tunapolala kitandani mie hulala mwanzo yeye hulala upande wa ukutani, kitanda ni 6 by 6 lkn huwa tunalala utadhani tupo wa tatu kitandani always anaacha nafasi kubwa sana upande wa pili, ananisogelea karibu sana lkn cha ajabu ukimkumbatia au kumpa ma touch touch ya hatari analalamika eti unamkosesha usingizi lkn mie huku karibu nadondoka kitandani, nikihamia upande aliouacha wazi dk kumi hazipiti lazima asogelee tena, huwezi amini style hii ni 7yrs sasa haibadiliki, nimegundua hawezi badilika basi namchukulia km alivyo au sometimes najifanya mtundu zaidi na ma touch bin cares kidogo atakimbia lkn within 10 minutes lzm tubanane tena!![/QUOTE]
la la la la la la la!
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!MAISHA YA NDOA BANA,LOL

Hahahahahahaha! Thats It! Direct! Wote wangekuwa direct namna hii mada ingeshafungwa!
senki yu veri much shemeji,mwenzenu intaneti ipo veri sloo.Au nyie mmeunganishwa kwenye mkonga?welkamu baack welkamu baak welikamu baaaaak!
TURUDI KWENYE SREDI MAMA!nasubiri mchango wako
ha ha ha ha haDanganya toto mpwa! Hiyo tutaifanyia kazi mikumi!
eeeh!this iz suppossed to be siriiaaazsenki yu veri much shemeji,mwenzenu intaneti ipo veri sloo.Au nyie mmeunganishwa kwenye mkonga?
Ngoja nirudi kwenye mada,Mie kinachonishangaza kuhusu My Xpin ni vile Anamaindi'Banta',Yani utafikiri ana hisa kwenye kiwanda cha banta,anakunywaaaaa weeee mpaka basi.Nina mpango nimpeleke kwa Dk NDODI aombewe,labda ni mapepo.
Unataka kuniambia Kanisani hakuna MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI? Sasa yeye baba Paroko alitoka wapi? kama sio mapenzi hata yeye asingekuwepo.Kwa hiyo anahusika sana huku niliko.Ziondaughter
Location: Church
ZD i worry Baba Paroko akipita kama guest akakukuta huku sijui jioni utaenda kujitetea vipi? Chrispin atakuruka