NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

Duh! Mukulu ni kiboko,kama hata siku mbili hailali basi ni kasheshe huyo mwanetu akiugua au akipata operation akapewa ka likizo japo ka wiki tatu itakuwaje? Hapo ni lazima utaoa wa pili la sivyo inabidi utengeneze sub wa kutosha mzee
 
JAMANI Kuna kitu kingine Mie na My wife huwa tuna share mswaki, hii kitu ilianza toka enzi za uchumba wetu, alikuwa akija Gheto yeye kuanzia tshirt/mashati, pants zote anavaa, mswaki morning anatumia ule wangu siku za kwanza nilijitahidi kumsihi asitumie lkn alikuwa mkali matokeo yake saa tumezoea, huwezi amini hata mie wala sioni tofauti na hhakuna madhara yeyote niliyowahi pata, na hata glass ya maji always tunatumia moja, mapenzi yana mambo yake jamani.
la la la la la!
mapenzi yana siri nzito eeh!
 
Duh! Mukulu ni kiboko,kama hata siku mbili hailali basi ni kasheshe huyo mwanetu akiugua au akipata operation akapewa ka likizo japo ka wiki tatu itakuwaje? Hapo ni lazima utaoa wa pili la sivyo inabidi utengeneze sub wa kutosha mzee
wewe siku mbili unaziona chache?
 
punguza ubahili ndugu, nunua msuwaki wa pili kabla hamjaambukizana marazi ya ufizi (wanasayansi tunayaita ufizology).

Kweli wewe klorokwini ni mchungu km jina lako nna miswaki kibao ndani km 5 hivi lkn we only share na tumezoea hivyo baba, wala hatuna maradhi yeyote yale
 
inaonekana mapaja ya mchuchu ALIYEKUTUNUKU PENZI ni kama mitutu!ha ha ha ha!sishangai,mapaja ya wanawake yapo tofauti sana kwakweli1nashukuru kwa kutoa kile kinachokushangaza!mpwa mwingine moyo umefunguka sasa!............bht to follow

do you mean SMG or Shortgun? otherwise Mpwa nitake radhi mimi na shemejio tafadhali.
 
Kweli wewe klorokwini ni mchungu km jina lako nna miswaki kibao ndani km 5 hivi lkn we only share na tumezoea hivyo baba, wala hatuna maradhi yeyote yale
inaonekana pia wewe uvinza ndio nyumbani kwako!😀
 
Duh! Mukulu ni kiboko,kama hata siku mbili hailali basi ni kasheshe huyo mwanetu akiugua au akipata operation akapewa ka likizo japo ka wiki tatu itakuwaje? Hapo ni lazima utaoa wa pili la sivyo inabidi utengeneze sub wa kutosha mzee
Au aanze kunywa Tusker larger
 
pambaja kama vile amefunga panya/bunduki
Mkuu hapa umeclear doubts. Moyo wangu sasa kwatuuu kwanteka Mpwa. Hata nikirudi nyumbani leo kama laaziz amesharudi i must say this 'mumy twende tukaoge mpenzi wangu' i think mnaanza kupata picha sasa kwanini napenda kuoga na mwenzangu. I cant take bath without her
 
ahha hahahahahaha
mpwa kumbe muongeaji sana eeh!KULA SENKSI
 
Mkuu hapa umeclear doubts. Moyo wangu sasa kwatuuu kwanteka Mpwa. Hata nikirudi nyumbani leo kama laaziz amesharudi i must say this 'mumy twende tukaoge mpenzi wangu' i think mnaanza kupata picha sasa kwanini napenda kuoga na mwenzangu. I cant take bath without her[/QUOTE]

akisafiri/ukisafiri mzee unapiga dash ya kubafu...duh mazoea mengine sitaki
 
STARTING WITH GEOFF ME:i don't understand my love because EVERYTIME WE NEED TO MAKE LOVE I MUST ASK!yeye hajawahi kuniambia kwamba she needs to make love!lakini wakati wa love making SHE IS SO CORPERATIVE!mkimaliza hata atashukuru.kesho yake ofisini lazima atakutext ''...meen,you did it well!''....!

Kwanza pole mpwa,
Ili swala huwa lipo kwa wengi wetu na twakutana nalo,wao hupenda kuandaliwa kwanza na kumwandaaa she itakubidi uchukue like kwa kuanzia lakini 5min upto 10,15,20 mins au wewe unamkurupukia tu na kuanza??? teh teh teh!!!! She huwa wana swaga za kufa mtu nilaziama at that particular juncture of the scene uwembunifu sn na umsome jinsi anavyo kwenda na umlete karibu kwa ajiri ya tendo.

.......!lakini wakati wa love making SHE IS SO CORPERATIVE!mkimaliza hata atashukuru.kesho yake ofisini lazima atakutext ''...meen,you did it well!''....!

Ndio mpwa kumbuka tiali ulisha mleta kwenye stage wategemea agome kucheza?? she can dance tena perfect tena kwa kusikia ndimi zikilia na sauti za kukufanya wewe uendeleee kupiga chenga ile mbaya ukitaka kusikia sauti a very seductive voice ikitoka kwake.

na ni tabia yao kushukuru tena ukimwangalia vizuri machoni ni kama binti mchanga akiwa amejawa na aibu na kumchanganya zaidi anaposhukuru mpige ma kiss shavu lakulia na kushoto then center(french kiss)

Lazima kesho yake akusifie jinsi ulivyo kandamiza mwanawane so kuwa makini kila mtendapo mpe style zaidi za kumchanganya si unawajuwa hawa ma she kadri ufanyavyo wao ile hali ndio huongezeka nawe jitahidi kumfikisha at the peak. upo hapo mpwaaaa?

.........mimi tatizo langu ni kwanini ni lazima mimi nimwambie!kwanini yeye asiseme?na nikimwambia at first lazima atakataa kataa kwa kuzuga!...

Teh teh teh mpwa bwana!!!! Hawa wao ukimuuliza hilo swali atakujibu mambo mengi tuuu eg. Sweeri we hukuniona nilivyokuwa najipitisha mbele yako naenda kuchukuwa maji ya kunywa pale kwenye Spencer au kwa fridge??? kumbuka hapo alipita kweli na night dress ile ya wavu wavu nyeeepeesiiii na jistring au thong na manukato fulani hivi na harufu ya ubani na mafuta rose, pia atakuambia twende tukalale nyingiii na kukuita ita hapo ujue ndio anakuita anakuomba sasa, pia wana mtindo fulani hivi akiwa na mzuka wa mahanjamu laziam atakushika pembe la ng'ombe huku akijifanya mbona ime lala mmh sweeri hukuwa sehemu wewe kweli hny!!!!

Kama hali hii nilio kupa kwa eg, basi unahaja ya kumbadirisha na kumfundisha haya mambo ili usiwe unanung'unika sana maana usipo anagalia huta enjoy the tendooozzzz

...NAOMBA WADAU,kila mmoja kwa nafasi yake na mahusiano aliyonayo aseme NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

Me nadhani ni utundu wako mpwa ndio wahitajika hana na uwe creative mara kwa mara, kila ukija toka job amekukuta au umemkuta uwe na maneno mazuri ya kutoka kinywani kwako, kumsifia sn,yani yeye awe yeye na awe na kipaumbeke na ajisikie hivyo kutoka kwako.

Pita hat Cassandra uchukuwe japo kazawadi kakumfanya ajisikie furaha moyoni.

hayo kwa leo mpwa. kazi ipo kweli kweli
 
akisafiri/ukisafiri mzee unapiga dash ya kubafu...duh mazoea mengine sitaki
My Love sikufikiria kuwa unaweza kunikana hadharani kiasi hiki. Mwe!!! I thought you know this as we used to..........
 
Kwanza pole mpwa,
Ili swala huwa lipo kwa wengi wetu na twakutana nalo,wao hupenda kuandaliwa kwanza na kumwandaaa she itakubidi uchukue like kwa kuanzia lakini 5min upto 10,15,20 mins au wewe unamkurupukia tu na kuanza??? teh teh teh!!!! She huwa wana swaga za kufa mtu nilaziama at that particular juncture of the scene uwembunifu sn na umsome jinsi anavyo kwenda na umlete karibu kwa ajiri ya tendo.

Ndio mpwa kumbuka tiali ulisha mleta kwenye stage wategemea agome kucheza?? she can dance tena perfect tena kwa kusikia ndimi zikilia na sauti za kukufanya wewe uendeleee kupiga chenga ile mbaya ukitaka kusikia sauti a very seductive voice ikitoka kwake.

na ni tabia yao kushukuru tena ukimwangalia vizuri machoni ni kama binti mchanga akiwa amejawa na aibu na kumchanganya zaidi anaposhukuru mpige ma kiss shavu lakulia na kushoto then center(french kiss)

Lazima kesho yake akusifie jinsi ulivyo kandamiza mwanawane so kuwa makini kila mtendapo mpe style zaidi za kumchanganya si unawajuwa hawa ma she kadri ufanyavyo wao ile hali ndio huongezeka nawe jitahidi kumfikisha at the peak. upo hapo mpwaaaa?

Teh teh teh mpwa bwana!!!! Hawa wao ukimuuliza hilo swali atakujibu mambo mengi tuuu eg. Sweeri we hukuniona nilivyokuwa najipitisha mbele yako naenda kuchukuwa maji ya kunywa pale kwenye Spencer au kwa fridge??? kumbuka hapo alipita kweli na night dress ile ya wavu wavu nyeeepeesiiii na jistring au thong na manukato fulani hivi na harufu ya ubani na mafuta rose, pia atakuambia twende tukalale nyingiii na kukuita ita hapo ujue ndio anakuita anakuomba sasa, pia wana mtindo fulani hivi akiwa na mzuka wa mahanjamu laziam atakushika pembe la ng'ombe huku akijifanya mbona ime lala mmh sweeri hukuwa sehemu wewe kweli hny!!!!

Kama hali hii nilio kupa kwa eg, basi unahaja ya kumbadirisha na kumfundisha haya mambo ili usiwe unanung'unika sana maana usipo anagalia huta enjoy the tendooozzzz

Me nadhani ni utundu wako mpwa ndio wahitajika hana na uwe creative mara kwa mara, kila ukija toka job amekukuta au umemkuta uwe na maneno mazuri ya kutoka kinywani kwako, kumsifia sn,yani yeye awe yeye na awe na kipaumbeke na ajisikie hivyo kutoka kwako.

Pita hat Cassandra uchukuwe japo kazawadi kakumfanya ajisikie furaha moyoni.

hayo kwa leo mpwa. kazi ipo kweli kweli

hahahahah
nimefurahi sana mpwa
SENKSI
 
Aah! Mukulu siku mbili ni nyingi kweli? Hebu wajameni semeni kweli ingekuwa enzi za mwalimu ungeenda china ungeumia, enzi zile kuna afisa ubalozi alishindwa uzalendo akamdunga mimba kadada ka kichina mwalimu alimrudisha akamwadhibu kwa kumpa wizara ya akina mama na watoto,Mukulu ingekuwaje kama siku mbili hailali njaa?China ungejaziwa midoli ya kumwaga teheteheteheeeee!
 
sana tuu, imossible inakuwa possible, km mnakula denda wakati wa ku doo nini cha ajabu ku share mswaki wadau
Jamani jioni imefika vidole na ubongo vimechoka. Ebu oneni hapo
 
My Love sikufikiria kuwa unaweza kunikana hadharani kiasi hiki. Mwe!!! I thought you know this as we used to..........

Ngoja nimtafute binamu kaizer privately asort out hili kwa kweli
 
Aaaaaaaaaaaaaaaa jamani matatizo ya mahusiano yetu unayapeleka kwa Mpwa tena. Njoo kwanza tusolve wenyewe then ikiwa ngumu ndio uende kwake. You know am cray to you hata magoti nitapiga kuomba radhi. I think these are among other things vinavyonishangaza kwa mpenzi wangu
 
hahahahah
nimefurahi sana mpwa
SENKSI

Teh teh teh Karibu tena Mpwa!!!

Make sure you do the practice for that. Usiniaangushe mpwa najua utakuja na majibu mazuri.

SENKSI AGENI kwa Kuni shukuru, Mpwa

Back
Top Bottom