NI KITU GANI HUWA UNAKIJUTIA KATIKA MAISHA YAKO ??

Kuna watu wamefanikiwa kwenye hicho ulichokisomea. Kwa hiyo kama hujafanikiwa kupata ulichokitamani pengine usingefanikiwa hivyo hivyo kama ungesoma fani nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najutia sana kufanya mchezo na masomo. Japo nimesoma na nimemaliza chuo kikuu nikiwa mdogo ki umri, na kusomea fani ninazopenda moyoni, kisha nikajiendeleza kimasomo zaidi na mpaka sasa bado najiendeleza.

Ila naamini nilikua na uwezo mkubwa zaidi ya perfomance nliofanya previously.[emoji18] [emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…