NI KITU GANI HUWA UNAKIJUTIA KATIKA MAISHA YAKO ??

Mimi najuta kulazimishwa kusikiliza bongo fleva.
 
Duuh inner sound inaniambia kua inajutia kufeli shule.. rafiki zangu wapo chuoni sasa wanakulamadesa mm nazagaa jf kutekenyana na madem ambao siwez kuwapata.. Natamani nami nirudi hata form 3 Maisha nayoishi hayaeleweki bora hata Yahaya wa ledijeidii
 
Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
Kunywa pepsi kwanza hapo, afu utarudi kuendeleza hayo majuto yako kwa kuleta sababu ya kukataa kurudi home kwenu kisa Mama yako mzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
Duuh mkuu kisasi ni cha Mungu wazazi wako walikukosea nin hasa labda???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika kutokuona ukijibu ulisomea nn???

Your weak best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…