General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Pole sanaa!!Najuta siku nilivyotolewa bikiraa yangu aiseee sitasahau yale maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaa!!Najuta siku nilivyotolewa bikiraa yangu aiseee sitasahau yale maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana kwa namna moja au mbili kuna kitu au jambo ambalo kila ukikaa huwa unajua katika maisha yako
mimi upande wangu najutia
FANI NILIYOISOMEA KWA MAANA IMESHIDWA KUNIPA AJIRA YA UHAKIKA ningekuwa labda nimesomea vitu vingine leo hii ningekuwa mbaliiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu yani [emoji31][emoji31]Sasa hivi hazard cfc anakurudisha kibosho kwenda kulima![emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sanaKufiwa na mama yangu mzazi nikiwa na 3yrs old hata simkumbuki jamani. Mama huko uliko I love you!
Uvivu huo ulikuaNajuta sana kukataa kwenda kusoma O level Kibosho girls sababu nilikua naogopa kulima. Nilifaulu interview ila nikasingizia siwezi kusoma wakati ndugu yangu amefeli interview
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana
Kunywa pepsi kwanza hapo, afu utarudi kuendeleza hayo majuto yako kwa kuleta sababu ya kukataa kurudi home kwenu kisa Mama yako mzazi.Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
Duuh mkuu kisasi ni cha Mungu wazazi wako walikukosea nin hasa labda???Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
Nasikitika kutokuona ukijibu ulisomea nn???inawezekana kwa namna moja au mbili kuna kitu au jambo ambalo kila ukikaa huwa unajua katika maisha yako
mimi upande wangu najutia
FANI NILIYOISOMEA KWA MAANA IMESHIDWA KUNIPA AJIRA YA UHAKIKA ningekuwa labda nimesomea vitu vingine leo hii ningekuwa mbaliiiii
Sent using Jamii Forums mobile app