NI KITU GANI HUWA UNAKIJUTIA KATIKA MAISHA YAKO ??

Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
Hakuna haja ya kujuta,
Kila binadamu ataonja mauti.

Unatakiwa kusikitika kishirawadu na kusonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha kutekenyana nini !!?
Duuh inner sound inaniambia kua inajutia kufeli shule.. rafiki zangu wapo chuoni sasa wanakulamadesa mm nazagaa jf kutekenyana na madem ambao siwez kuwapata.. Natamani nami nirudi hata form 3 Maisha nayoishi hayaeleweki bora hata Yahaya wa ledijeidii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najuta kuzaliwa Tanzania sio kwa sababu za kisiasa bali misingi mibovu iliyowekwa na viongozi hasa walio tangulia.

Najuta kushare ndugu kwa baba ilhali hana upendo na kushare ndugu kwa mama ilhali ananipenda na kunithamini kibaya sio raia wa Tanzania

Najuta kuwa kijana huku nikiona ndoto zangu zikififia
 
Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka

ilikuaje jaman?dah ..ni mama wa kambo
 
Najuta kumchana wembe best wangu nikiangalia kovu lake najilaumi mnooo, hasira hasara.
 
Ungesomea upolisi au trafiki sasa ivi ungekuwa unakula pesa ndefu za rushwa na kusaidia uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…