hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Kuzaliwa bila ruksa yangu '" Aisee hii kitu huwa inanikera sana ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kujuta,Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
Duuh inner sound inaniambia kua inajutia kufeli shule.. rafiki zangu wapo chuoni sasa wanakulamadesa mm nazagaa jf kutekenyana na madem ambao siwez kuwapata.. Natamani nami nirudi hata form 3 Maisha nayoishi hayaeleweki bora hata Yahaya wa ledijeidii
Umeona hapo tu
Ndio ndio.Sijuti na sitajuta kamwe katika maisha yangu kwani mimi mwenyewe ndiye wa kutengeneza furaha na amani rohoni mwangu katika maisha yangu daima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio palipo nivutia zaidiUmeona hapo tu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Najuta kukataa kurudi nyumbn kwa muda wa miaka 3 na wakt huo baba alikuwa akinihisi nirudi,lkn sikurudi,na sababu hasa ni mama yangu,baada ya miaka 3 nilikuja kumuona baba ndani ya jeneza,nashindwa kuzuia machozi kila nikikumbuka
We inaonekana unapenda dudu kinyama yaani maada zako hadi comment zako haziedagi mbali na duduNajuta siku nilivyotolewa bikiraa yangu aiseee sitasahau yale maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ningekuwa na professional ya uhakika kuliko sasa nnavyosota na maisha
Ungesomea upolisi au trafiki sasa ivi ungekuwa unakula pesa ndefu za rushwa na kusaidia uchaguziinawezekana kwa namna moja au mbili kuna kitu au jambo ambalo kila ukikaa huwa unajua katika maisha yako
mimi upande wangu najutia
FANI NILIYOISOMEA KWA MAANA IMESHIDWA KUNIPA AJIRA YA UHAKIKA ningekuwa labda nimesomea vitu vingine leo hii ningekuwa mbaliiiii
Sent using Jamii Forums mobile app