NI KITU GANI HUWA UNAKIJUTIA KATIKA MAISHA YAKO ??

Najuta kuikacha j.k.t kwa kuogopa kupima ngoma, miezi 3 mbele nikaja toa damu na nimepima mara 4 niko sawa

najuta sana mpaka leo maana mzee aliye tuunganishia ananiona naranda randa tu huku jama wenzangu ni wanajeshi na 1 n wale wavaa suti.
 
Najuta kuikacha kazi fulani serikalini nilipomaliza 4m six, nikaona bora niende chuo kutafuna boom kwanza,

sasa nimemaliza chuo kila nikiomba ajira napigwa kibuti

Hua najiona fala nikiikumbuka ile kazi niliyokataa, ila upande mwingine namshukuru Mungu huenda kuna mabaya aliniepushia,

thanks loard kwa yote, najua fungu langu umenitunzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuugua magonjwa yasioambukiza,yale ya kiungo cha ogani kufeli,mfano figo n.k,kufeli masomo sometimes sio swala la kujutia kama una uwezo mdogo.na vingine vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usife moyo kuna watu tulikataa kazi na sasa hatuna ila tunamshukuru Allah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ni mti mlegevu bila shaka
 
Ni k
Hakuna haja ya kujuta,
Kila binadamu ataonja mauti.

Unatakiwa kusikitika kishirawadu na kusonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi,lkn naumia zaidi sababu sikumuona baba kw kpnd kirefu na siku niliyomuona ni maiti tyr,daaah! Inauma,inauma sana ,najilaumu kwnn ht sikurudi nymbn kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…