Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuugua magonjwa yasioambukiza,yale ya kiungo cha ogani kufeli,mfano figo n.k,kufeli masomo sometimes sio swala la kujutia kama una uwezo mdogo.na vingine vingi.Naona watu hawafahamu maana halisi ya majuto,
Kujutia ni pale mtu unafanya jambo ambalo linakugharimu lakin ulikua na mbadala mwingine.
Mambo yote ambayo hauna uhamizi nayo huwez kusema unajutia mfano kuzaliwa mwafrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Usife moyo kuna watu tulikataa kazi na sasa hatuna ila tunamshukuru Allah...inawezekana kwa namna moja au mbili kuna kitu au jambo ambalo kila ukikaa huwa unajua katika maisha yako
mimi upande wangu najutia
FANI NILIYOISOMEA KWA MAANA IMESHIDWA KUNIPA AJIRA YA UHAKIKA ningekuwa labda nimesomea vitu vingine leo hii ningekuwa mbaliiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole aisee duh!Najuta kuikacha j.k.t kwa kuogopa kupima ngoma, miezi 3 mbele nikaja toa damu na nimepima mara 4 niko sawa
najuta sana mpaka leo maana mzee aliye tuunganishia ananiona naranda randa tu huku jama wenzangu ni wanajeshi na 1 n wale wavaa suti.
shukrani mkuu ila najuta hasaa
Pole mkuu...we're sailing in the same boatKufiwa na mama yangu mzazi nikiwa na 3yrs old hata simkumbuki jamani. Mama huko uliko I love you!
Hahaha nina marafiki zangu walisoma hapo kweli ile shule imewatengenezaNajuta sana kukataa kwenda kusoma O level Kibosho girls sababu nilikua naogopa kulima. Nilifaulu interview ila nikasingizia siwezi kusoma wakati ndugu yangu amefeli interview
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kiongozi
Acha tu mkuu,naomba nisiendelee zaidiDuuh mkuu kisasi ni cha Mungu wazazi wako walikukosea nin hasa labda???
Sent using Jamii Forums mobile app
we ni mti mlegevu bila shakaNajutia sana kufanya mchezo na masomo. Japo nimesoma na nimemaliza chuo kikuu nikiwa mdogo ki umri, na kusomea fani ninazopenda moyoni, kisha nikajiendeleza kimasomo zaidi na mpaka sasa bado najiendeleza.
Ila naamini nilikua na uwezo mkubwa zaidi ya perfomance nliofanya previously.[emoji18] [emoji53]
Mimi nimesomea kubeti na nabeti kila siku naliwaumesomea nini mkuu,taja ili watu wajifunze…..
Familia zetu za Tz zina siri kubwa sanaDuuh mkuu kisasi ni cha Mungu wazazi wako walikukosea nin hasa labda???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi,lkn naumia zaidi sababu sikumuona baba kw kpnd kirefu na siku niliyomuona ni maiti tyr,daaah! Inauma,inauma sana ,najilaumu kwnn ht sikurudi nymbn kwa nguvuHakuna haja ya kujuta,
Kila binadamu ataonja mauti.
Unatakiwa kusikitika kishirawadu na kusonga mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufiwa na mama yangu mzazi nikiwa na 3yrs old hata simkumbuki jamani. Mama huko uliko I love you!