juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hebu niPM jina lako unalotumia TwitterSiwezi kulala, wala kuanza siku bila kuangalia account yangu ya Twitter. Siwezi kusafiri bila laptop, siwezi kwenda popote bila simu.
Ina maana wewe unapiga nyeto daily?Kupiga punyeto
Konyagi bapa kubwa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Lusekelo ndio nini? Maana nijuavyo mimi ni jina la mtu hasa wanyakyusa
Mh?walevi mna maneno sana,,sasa kwa nini mnaita bapa au lusekelo?Konyagi bapa kubwa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu mimi Mwenzako asbh Sana lazima ni roll mixer tena asbh napiga na maji mengi nyuma ya nyumba Kuna pagara nakaa. Ikifika jion natoka mishemishe lazima nipitie chimbo Kwa pusha wangu heshima kwake anajiita Msela boti harid pale nakula joints zangu mbili. Kisha nachukua KETE moja ya kuamka nayo asbuhi.. The circle begin again..Tunafanana lifestyle
NdioIna maana wewe unapiga nyeto daily?
Mkuu ule utabiri wa mzee wa upako unakuhusu. ..... jiaendae kuweka sawa mambo ya next of kinkabla ya kulala lazima nigonge LUSEKELO na kila asubuhi kabla ya kunyanyuka kitandani nazimua tena hapo hapo kitandani
Mi sio mlevi ila saiv mitaani huo msemo ndio umeshika chatMh?walevi mna maneno sana,,sasa kwa nini mnaita bapa au lusekelo?
Mishe zangu mimi sio za kupigika in kukaa tu Kwa hiyo nakuwa na muda WA kuchezea simu nitakavyo.. Hasa hii jf ndio kama kilevi changu kingine.. Nikifariki nitaimiss Sana jf staki kuamini kama nitaiachaMkuu huna kazi? Kila nusu saa?
MWENZENU NAPENDA KUPENDWAhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Mkuu hebu niPM jina lako unalotumia Twitter
tehe tehe tehe badoooooMWENZENU NAPENDA KUPENDWA
Hujapata tu wa kukupenda???
Teh teh teh![emoji14] [emoji14]Mkuu ule utabiri wa mzee wa upako unakuhusu. ..... jiaendae kuweka sawa mambo ya next of kin
maneno tu mkuuSi nasikia vinanyevua vile?au ni maneno tu
halafu utafikaje ?Mswaki mswaki mswaki na Sox
Aisee bora nisahau nauli ila sio mswaki na sox
Mkuu.....Kusoma nyuzi JF
Mkuu me nahitaji zile picha ambazo mara nyingine huwa una comment nazo.. Facial expressions photos au Nielekeze wapi nitazipata zote.. Serious mkuu na shida nazoSeriously??
Nilitarajia hapata kosekana kama weweKupiga punyeto