Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Kila nikiamka namshukuru Mungu kwa kuniamsha salama mimi na familia yangu maana kuamka na afya njema ni mtaji mkubwa sana kwangu kuliko chochote kile.
 
We jamaa nimeamini unamsikiliza Pac,,maana humo yupo na hao watoto,japo siku hizi hawasikiki,tangu Pac afe nao wakapoteana,nasikia yule mwingine ni kinyozi,mara kadafy nae alipigwa bastora,daaah
Dah
Kweli Kadafi (Yafeu Fula) aliuawa miezi kama nane hivi baada ya kufa binamu yake Tupac... Alipigwa risasi ya kichwa na mdogo wa Napoleon japo kuna conspiracy kibao moja wapo ikiwa yeye kujua identity ya assassin wa Tupac.
Kundi halijafa bado kuna active member wawili Young Noble na E. D. I. Mean ambao wanaendeleza legacy ya Outlawz na Pac, Hussein Fatal alifariki mwaka jana mwezi wa saba kwa ajali ya gari, Napoleon amekua ustaadh kaslimu na kamrudia Allah na sasa ni motivational speaker akitumia maisha yake kuwaelimisha watu madhara ya gangs, gang related violence including driveby shootings nk ,yule cousin wa Tupac Kastro yupo anaendelea na movement lakini kama solo artist, Komani(Mopreme Shakur) kaka yake Tupac nae anaimba bado kama solo artist, Mussolini (Big Syke) amefariki mwaka huu tarehe 5 December na Storm yule dada kasikika kwenye wimbo kama Thug passion na black Jesus kaolewa na analea familia japo kua bado ni Outlaw damuni.
 
Katika kila jambo nilifanyalo lazima nimtangulize Mungu kwanza. Nikisafiri lazima nimuombe yeye na kabla ya kulala na kuhamka lazima nimuombe yeye, vingine Zaidi ya hapo ni ziada tu.
 
Asubuhi saa 11 lazima nivute bangi
Jioni Yake pia saa kumi lazima nivute bangi
Jf kila baada ya nusu saa lazima niingie

Mkuu una pepo wabaya au? Kichwani zimo kweli, na unasaidiaje pato la taifa kwa lifestyle yako hii?
 
Siwezi kulala bila kuzima taa na niwapo safarini siwezi kuacha earphones na funguo za getto langu
 
Siwezi lala bila kumuomba Muumba wangu (kusali), na pindi niwapo safarini siwezi acha kuwa na balance nzuri ya pesa.
 
siwezi kulala bila kuperuzi Jf, twitter na kuangalia porno kisha napiga kimoja ndio usingizi unakuja
 
Kabla ya kulala lazima niwasomee watoto wangu hadithi za kwenye biblia ( zipo katika vile vitabu vya kitoto ), na siwezi kusafiri bila kubeba biblia.
 
Lazima nisikilize ngoma za Tupac na Bob Marley kwanza.. Bila hivyo inakua tabu kupata usingizi...
Nikiwa na safari lazima nibebe coin yangu ya shillingi kumi ikiyokua ikitumika enzi za ukoloni.
Tupac amaru shakur..
Makaveli records..
Killuminati...

Dear mama...
[emoji441] when I was a young me and my mama had a beef,
17 years old kicked out on the streets,
Through back at the time
I never thought I'd see her face,
Ain't a woman a live that could,
Take my mama place,
Suspended from school and scared to go home,
I was a fool with the big boys,
Breaking all the rules,
I shed tears with my baby sister,
Over the years we was poorer than other little kids,
And even though we had different daddy's the same drama,
When things went wrong we'd blame mama,
I reminisce on the stress I caused
It was hell huggin on my mama from a jail cell,
And who'd think in elementary
Heeeeeey !!! I see the penitentiary
One day and runnin from the police that right,
Mama catch me put a whooping to my back side.
And even as a crack field mama
You always a black Queen mama
I finally understand for woman
It ain't easy tryin to raise a man [emoji443] [emoji441]

King of rap.....
God of rap......
Tupac amaru shakur
Makaveli......
1971 - 1996
Rest in power
R - I - P

[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Hapana Sina pepo wabaya.. Nafanya kazi zangu kama kawaida Ila Bila mjani siku yangu itakuwa mbovu..lazima ni smoke mpepe kila asubuhi na huu ni mwaka wa sita.. Kuhusu kuchangia pato mkuu Usiwe na Shaka. Nachangia nchi yangu Kwa kulipa kodi hata kupitia paper white tu nikinuua rizla LAzima nikatwe kodi.. Na hivo ndivyo navosaidia nchi yangu
 
Back
Top Bottom