Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Aisee,asante sana mkuu hakika umeifanya siku yangu kuwa nzuri,maana nimekutana na mtu anaejua mambo ninayoyajua,yaani kama vile producer Duke touches anapokuwa na akina One,Stereo,Songa ,Mbishi.utafurahi wewe
Amani na upendo mkuu.
 
Kuacha unafiki nahakikisha pesa zangu kwenye tight, kitambulisho chini ya mto then kusali japo kusahau kupo.
 
Mm siwezi kulala bila kumwomba MUNGU. na niamkapo pia hufanya hivyo..MUNGU ni mwema kwangu.
 
Hapana Sina pepo wabaya.. Nafanya kazi zangu kama kawaida Ila Bila mjani siku yangu itakuwa mbovu..lazima ni smoke mpepe kila asubuhi na huu ni mwaka wa sita.. Kuhusu kuchangia pato mkuu Usiwe na Shaka. Nachangia nchi yangu Kwa kulipa kodi hata kupitia paper white tu nikinuua rizla LAzima nikatwe kodi.. Na hivo ndivyo navosaidia nchi yangu


Poa kaka, nimekupata. Ni bangi ipi unapenda sana kati ya hizi zilizochanganywa na kemikali na zile original za shambani?
 
Poa kaka, nimekupata. Ni bangi ipi unapenda sana kati ya hizi zilizochanganywa na kemikali na zile original za shambani?
Mkuu mimi mixer sipendelei ukinipa nitoe dry ndio Safi japo of of dry inazingua kwenye kuwaka inakuwa kama inazima Ila sio kesi natumia
 
Siwezi toka home bila kusali Sala ya Bwana, my phone,charger,earphones and handbag
 
to think about creation and death.Naishia kusema Mungu kweli hapo umeshika jeuri za walimwengu.
 
Mkuu mimi Mwenzako asbh Sana lazima ni roll mixer tena asbh napiga na maji mengi nyuma ya nyumba Kuna pagara nakaa. Ikifika jion natoka mishemishe lazima nipitie chimbo Kwa pusha wangu heshima kwake anajiita Msela boti harid pale nakula joints zangu mbili. Kisha nachukua KETE moja ya kuamka nayo asbuhi.. The circle begin again..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]... Mkuu mimi asubuhi lazima niroll joint mbili nivute... Nipo chuo fulani hapa tz,then naingia class na mishe mishe nyingine.Jioni tena naroll joint mbili napiga nikishushia na Maji.Basi usiku usingizi murua.
 
Dah
Kweli Kadafi (Yafeu Fula) aliuawa miezi kama nane hivi baada ya kufa binamu yake Tupac... Alipigwa risasi ya kichwa na mdogo wa Napoleon japo kuna conspiracy kibao moja wapo ikiwa yeye kujua identity ya assassin wa Tupac.
Kundi halijafa bado kuna active member wawili Young Noble na E. D. I. Mean ambao wanaendeleza legacy ya Outlawz na Pac, Hussein Fatal alifariki mwaka jana mwezi wa saba kwa ajali ya gari, Napoleon amekua ustaadh kaslimu na kamrudia Allah na sasa ni motivational speaker akitumia maisha yake kuwaelimisha watu madhara ya gangs, gang related violence including driveby shootings nk ,yule cousin wa Tupac Kastro yupo anaendelea na movement lakini kama solo artist, Komani(Mopreme Shakur) kaka yake Tupac nae anaimba bado kama solo artist, Mussolini (Big Syke) amefariki mwaka huu tarehe 5 December na Storm yule dada kasikika kwenye wimbo kama Thug passion na black Jesus kaolewa na analea familia japo kua bado ni Outlaw damuni.
Mkuu umenikosha sana.... Kiufupi nakubaliana na 2pac kwamba ain't nothing like old school hip-hop... Napenda sana oldies kuliko kila kitu.2pac anabaki kuwa best rapper na my favorite MC of all the time,umenikumbusha storm alikuwa kwenye album ya all eyez on me pamoja na member wengine wa outlawz.
Hakuna album ya 2pac ambayo sina pia hakuna nyimbo ambayo utaitaja nisiijue... I got much love for him.
Mkuu nikukumbushe kidogo na crew kama N.W.A iliyoconsist DJ yella,Dr Dre,Eazy E,Mc ren na ice cube... Kundi jingine gangstarr nikimuongelea MC guru na DJ premier.... Jingine lost boyz,naughty by nature,erick b and rakim,boogie down production,tribe called quest,Geto boyz hapa una mkuta baba la baba Scarface.
Usiku ndo nasikiliza hizo Ngoma mpaka asubuhi.nikiwaongezea na outkast,dilated people,leaders of the new school,Run Dmc,Salt N Pepa,D La Soul,Sugar hill gang hapa unakikuta kitu cha rappers delight na makundi mengine kibao nikiyataja ntajaza bila kumsahau will Smith alikua akijiita fresh prince.
Mimi niwa 96 lakin huu mziki ndo umenikaa akilini.
Duh umenifanya niongee mengi sana.
 
Napoleone nasikia kwel kawa ustadhi bhana.,black Jesus bonge moja la pini aisee.husein fatal sikujua kama kafariki kabisa..kuna ngoma yupo husein fatal,Pac na mume wa Reym ma(papoose).aisee majamaaa naona kama wamemfunika kabisa Pac mle,,ngoma inaitwa Dumpin.au unaonaje?
Dumpin... Hussein fatal kaua,ila 2pac alibast mpaka raha
 
Back
Top Bottom