Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Mkuu umenikosha sana.... Kiufupi nakubaliana na 2pac kwamba ain't nothing like old school hip-hop... Napenda sana oldies kuliko kila kitu.2pac anabaki kuwa best rapper na my favorite MC of all the time,umenikumbusha storm alikuwa kwenye album ya all eyez on me pamoja na member wengine wa outlawz.
Hakuna album ya 2pac ambayo sina pia hakuna nyimbo ambayo utaitaja nisiijue... I got much love for him.
Mkuu nikukumbushe kidogo na crew kama N.W.A iliyoconsist DJ yella,Dr Dre,Eazy E,Mc ren na ice cube... Kundi jingine gangstarr nikimuongelea MC guru na DJ premier.... Jingine lost boyz,naughty by nature,erick b and rakim,boogie down production,tribe called quest,Geto boyz hapa una mkuta baba la baba Scarface.
Usiku ndo nasikiliza hizo Ngoma mpaka asubuhi.nikiwaongezea na outkast,dilated people,leaders of the new school,Run Dmc,Salt N Pepa,D La Soul,Sugar hill gang hapa unakikuta kitu cha rappers delight na makundi mengine kibao nikiyataja ntajaza bila kumsahau will Smith alikua akijiita fresh prince.
Mimi niwa 96 lakin huu mziki ndo umenikaa akilini.
Duh umenifanya niongee mengi sana.
Mkuu kama unapenda old school basi kaitafute album ya prodigy na havoc inaitwa infamous,harafu kaitafute album ya Capone and Noriega inaitwa War report.hizo album ni hatari,huwezi kurewind wala kufoward..harafu katafute album ya ONYX inaitwa Shut em down,na ya Lost boyz inaitwa Lb 4 life,kila ngoma ni kali huko,yaani ni press play tu.hata kama hupendi hip hop ila kwa album hizo utapenda tu
 
Siwezi kulala bila kusali(labda nisahau)nkikumbuka ntasali ata nasinzia.Safarini,siwezi safiri bila nguo za kubadilisha huko niendako.
 
Siwezi kulala bila kuingia chooni na nikiamka brek ya kwanza ni toile.t
 
Ciweza kulala bila kusali, hata baada ya kuamka namkaribisha Mwenyezi Mungu aweze kunilinda na kuniongoza kwa kila jambo hata niwapo safarin Mungu ndiye ngao yangu nimuogope nani?
 
Hahaha mkuu safi sana... Endelea hivyo hivyo sema itabidi uwape sikio wale vijana kutoka label ya Rhyme sayers wapo vizuri sana. Pure poetry utakutana na Sage Francis, Aesop Rock, Marehemu Eyedea etc.
Umenikumbusha Geto Boyz kuna mtu namwelewa sana huko Bushwick Bill album yake ya little big man inafurahisha sana itafute.

Mkuu umenikosha sana.... Kiufupi nakubaliana na 2pac kwamba ain't nothing like old school hip-hop... Napenda sana oldies kuliko kila kitu.2pac anabaki kuwa best rapper na my favorite MC of all the time,umenikumbusha storm alikuwa kwenye album ya all eyez on me pamoja na member wengine wa outlawz.
Hakuna album ya 2pac ambayo sina pia hakuna nyimbo ambayo utaitaja nisiijue... I got much love for him.
Mkuu nikukumbushe kidogo na crew kama N.W.A iliyoconsist DJ yella,Dr Dre,Eazy E,Mc ren na ice cube... Kundi jingine gangstarr nikimuongelea MC guru na DJ premier.... Jingine lost boyz,naughty by nature,erick b and rakim,boogie down production,tribe called quest,Geto boyz hapa una mkuta baba la baba Scarface.
Usiku ndo nasikiliza hizo Ngoma mpaka asubuhi.nikiwaongezea na outkast,dilated people,leaders of the new school,Run Dmc,Salt N Pepa,D La Soul,Sugar hill gang hapa unakikuta kitu cha rappers delight na makundi mengine kibao nikiyataja ntajaza bila kumsahau will Smith alikua akijiita fresh prince.
Mimi niwa 96 lakin huu mziki ndo umenikaa akilini.
Duh umenifanya niongee mengi sana.
 
Nyimbo kali sana hiyo...
Tupac amaru shakur..
Makaveli records..
Killuminati...

Dear mama...
[emoji441] when I was a young me and my mama had a beef,
17 years old kicked out on the streets,
Through back at the time
I never thought I'd see her face,
Ain't a woman a live that could,
Take my mama place,
Suspended from school and scared to go home,
I was a fool with the big boys,
Breaking all the rules,
I shed tears with my baby sister,
Over the years we was poorer than other little kids,
And even though we had different daddy's the same drama,
When things went wrong we'd blame mama,
I reminisce on the stress I caused
It was hell huggin on my mama from a jail cell,
And who'd think in elementary
Heeeeeey !!! I see the penitentiary
One day and runnin from the police that right,
Mama catch me put a whooping to my back side.
And even as a crack field mama
You always a black Queen mama
I finally understand for woman
It ain't easy tryin to raise a man [emoji443] [emoji441]

King of rap.....
God of rap......
Tupac amaru shakur
Makaveli......
1971 - 1996
Rest in power
R - I - P

[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Nas is one of the illest emcee to ever hold the mic.
Jamaa kiukweli ni mtu alietoa album bora ya mda wote in ILLIMATIC.
Namwelewa sana Nas, he is in my top two period.
Tupac the best
But nas I always like his rap...

Nas Escobar...

[emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120]
 
Hahaha mkuu safi sana... Endelea hivyo hivyo sema itabidi uwape sikio wale vijana kutoka label ya Rhyme sayers wapo vizuri sana. Pure poetry utakutana na Sage Francis, Aesop Rock, Marehemu Eyedea etc.
Umenikumbusha Geto Boyz kuna mtu namwelewa sana huko Bushwick Bill album yake ya little big man inafurahisha sana itafute.
Asante mkuu... rocky na wenzake nawafatilia japo sio sana... But kwenye hiz new school Kendrick Lamar,j Cole na chance the rapper wananikosha mno.
 
Nas is one of the illest emcee to ever hold the mic.
Jamaa kiukweli ni mtu alietoa album bora ya mda wote in ILLIMATIC.
Namwelewa sana Nas, he is in my top two period.
Hahahaha... Illmatic is one of my best album of all the time... The world is yours,memory lane(sittin in da park), ile Ngoma yupo na AZ... Life is bitch,aint hard to tell... Hahahaha mkuu hiyo album umenikumbusha ngoja niisikilize mda huu
 
hakuna bhana,PAC kafunikwa sana mule,,nae ngoma zingine alikuwa anafunikwa,hata I don give a **** yenyewe ile madogo wamemficha sana
Hapana aisee... I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide 2pac aliipiga peke yake ipo kwenye album yake ya kwanza kabisa ya 91...
Na pia nimesema dumpin Hussein fatal kafunika but PAC alibast vyema lyrical
 
Mimi binafsi siwezi kulala bila kumshukuru Mungu kwa kunilinda kwa siku nzima, pia kuamka kwa kunilinda kwa usiku kucha bila ya kuwa na ulinzi wwte
 
Mkuu kama unapenda old school basi kaitafute album ya prodigy na havoc inaitwa infamous,harafu kaitafute album ya Capone and Noriega inaitwa War report.hizo album ni hatari,huwezi kurewind wala kufoward..harafu katafute album ya ONYX inaitwa Shut em down,na ya Lost boyz inaitwa Lb 4 life,kila ngoma ni kali huko,yaani ni press play tu.hata kama hupendi hip hop ila kwa album hizo utapenda tu
Hahahaha... Mkuu havoc na prodigy waliitwa Mobb Deep nna album zako zote umenikumbusha Ngoma kama the shook one part ii,hell on earth,survival of the fittest..
Lost boyz hyo album ya lb fam for life hakuna nyimbo ambayo siipendi aisee... We got the hot shit,only live once,ghetto jiggy hahaha mkuu umenikosha sana.
 
Back
Top Bottom