Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Hahahaha... Illmatic is one of my best album of all the time... The world is yours,memory lane(sittin in da park), ile Ngoma yupo na AZ... Life is bitch,aint hard to tell... Hahahaha mkuu hiyo album umenikumbusha ngoja niisikilize mda huu
Sawa mkuu mi leo namsikiliza masta ace tu, album ya sitting on the chrome na the long hot summer zipo kwenye Playlist kwa leo.
 
Asante mkuu... rocky na wenzake nawafatilia japo sio sana... But kwenye hiz new school Kendrick Lamar,j Cole na chance the rapper wananikosha mno.
Dah
New school sikilizi kabisa ila kuna machalii kama Childish Gambino na Lupe Fiasco kuna kipindi niliwaazima sikio.
 
Mimi siwezi kwenda safari yeyote bila stock ya weed na kabla sijalala huwa namshukuru Mungu kwa siku hiyo coz life is the bitch!
 
Hahahaha... Mkuu havoc na prodigy waliitwa Mobb Deep nna album zako zote umenikumbusha Ngoma kama the shook one part ii,hell on earth,survival of the fittest..
Lost boyz hyo album ya lb fam for life hakuna nyimbo ambayo siipendi aisee... We got the hot shit,only live once,ghetto jiggy hahaha mkuu umenikosha sana.
Sawasawa,,pamoja mkuu
 
Dah
New school sikilizi kabisa ila kuna machalii kama Childish Gambino na Lupe Fiasco kuna kipindi niliwaazima sikio.
Lupe fiasco tangu afuge rasta ni kama kapata laana,hawezi kuchana kabisa.kawa whack emcee kama Ace hood tu
 
Asubuhi saa 11 lazima nivute bangi
Jioni Yake pia saa kumi lazima nivute bangi
Jf kila baada ya nusu saa lazima niingie

Basi Mkuu kuanzia leo utakuwa sio Faru John wala Ndege bali JOHN BANGI
 
Kusikiliza Rhumba hasa za Franco Luambo Makiadi na Madilu System
 
Kumkiss mke wangu na mwanangu..................kama niko mbali lazima niongee nae kabla na baada ya kuamka
 
Dah
New school sikilizi kabisa ila kuna machalii kama Childish Gambino na Lupe Fiasco kuna kipindi niliwaazima sikio.
Childish Gambino kwa mpenda oldies lazima umuelewe... Dogo yupo poa sana but Lupe fiasco alikua vyema kwenye kipindi cha nyuma siku hizi ameenda kwenye cashflow basi simuelewi kabisa
 
Hahahaha... Ukitafuta list ya diss songs of all the time,ya kwanza ni hit em up ya 2pac then inakuja ether ya nas... Hizi Ngoma ni noma aisee

Mkuu 2pac alisaidiwa Na group Nas alikuwa Mfalme wa NY peke yake Na ndio ilikuwa single yake kubwa kuliko zote.
 
Unajamba Kidogo Kabla Ya Kulala Na Ukiamka Ili Kupima Mfumo Wa Upumuaji Kabla Ya Safari Unaomba Mungu
 
Siwezi kulala bila kusali (kuomba na kushukuru mungu )
 
Back
Top Bottom