Vyote ulivyotaja havileti msongo, kinacholeta msongo ni mind set ya mhusika.1. Mapenzi
2. Kufilisika / kushuka kiuchumi
3. Kesi
4. Marejesho ya Madeni
5. Magonjwa
6. kukosa ajira
Kufilisika, hii kitu sikia tu kwa wenzio isikukute.
Naam wengi wetu tuna deal sana na matokeo,badala ya chanzo,hapo ndipo tunapoangukia pua,,na pia mtu uwezi kuwa na misongo ya mawazo kama utamtegemea mungu kwa yote yano kukabiri,kwa imani yayote uliyonayo.Vyote ulivyotaja havileti msongo, kinacholeta msongo ni mind set ya mhusika.
- Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k.
- kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection
Dah! Umenichekesha sana mkuu.'Afu kuna mwamba yuko zake paleee ako na yote hayo uliyoandika, na anadunda tuu ana amini one day YES,. MUNGU yupo.
Faida zake ni ndogo mnoNo 5. Ni uzembe uzembe kazi zipo uza hata barafu, PIPI,Lima mboga mboga...