Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

  1. Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k.
  2. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k.
  3. Kesi mahakamani
  4. Marejesho ya Mkopo
  5. Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.)
  6. kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection
  7. Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
Hiyo namba 7 ungeweka madeni.
8. Kufanya kazi usiyoipenda
9. Kufukuzwa kazi.
10. Kuingiza hela yote kwenye biashara/ kilimo, halafu mambo yakaenda tofauti na matarajio.
 
Faida zake ni ndogo mno
Sawa...Kama ni ndogo Basi tatizo Lina anzia kwenye mentality ya mtu mwenyewe..

Tulisha enda mpaka supermarket/ hotelini/ mama ntilie kutafuta oda kua supplier wao wa mboga mboga..

Tusha sukuma mikokoteni/ tusha kua professional barber wa saluni/fundisha tuition/ uza chair fire kwa kutafuta oda/ uza mabonge Yale ya barafu/ufugaji wa kuku na nguruwe/ tusha uza mitumba majumba ya magodoro....

Fursa zipo walio zielewa mapema hawalala miki TENAA..

Ukikosa kazi kwa miaka kumi...na ukichoka kua maskini..utafanya chochote Cha halali
 
Hapo

Lazima connection sio rahisi mtu kukuamini ....
 
Unaweza ukashangaa ila watu wengi kwa sasa hasa ambao bado wanapambana na maisha huwa wanapata msongo wa mawazo kutokana na KUFANIKIWA KWA WATU WANAOWAJUA.

Hivyo, ukifanikiwa usianze kujimwambafai, unawapa watu wengi ugonjwa wa depression.
 
Back
Top Bottom