Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna makanisa mengi sana tena ni ya kilokole, Kwa observation niliyofanya nayo yanachangia hali hii, unakutana na watu kibao siku za kazi wapo makanisani mchana wa jua kali wametembea huku mchungaji amepaki chuma kikali anawajaza vitu vya ajabu waumini waamini kila kitu ni pepo, hii naona inapelekea hata kushusha thinking capacity kwenye utafutaji, mtu amekaririshwa duniani tunapita tu
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira na kuangalia mipira vibanda umiza
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa kumkuta binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria vijana kukimbia majukumu kwa kukosa vipato vya kulea watoto
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara