Mbona nasikia huko kuwa mvua ni ya kuzidi sanaMiezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria wazazi wenzao nao kukimbia majukumu kwa kukosa vipato
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara
waswageni muwapeleke mbarali wakalime mipunga, tukuyu wakalime kokoa na kahawa, au wapelekeni mlowo huko wakalime mahindi...mkishindwa wapeni bodaboda ili ziwaueMiezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna makanisa mengi sana tena ni ya kilokole, Kwa observation niliyofanya nayo yanachangia hali hii, unakutana na watu kibao siku za kazi wapo makanisani mchana wa jua kali wametembea huku mchungaji amepaki chuma kikali anawajaza vitu vya ajabu waumini waamini kila kitu ni pepo, hii naona inapelekea hata kushusha thinking capacity kwenye utafutaji, mtu amekaririshwa duniani tunapita tu
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira na kuangalia mipira vibanda umiza
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa kumkuta binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria vijana kukimbia majukumu kwa kukosa vipato vya kulea watoto
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara
Wamalime amauwa, embozo na ndofanyaMiezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna makanisa mengi sana tena ni ya kilokole, Kwa observation niliyofanya nayo yanachangia hali hii, unakutana na watu kibao siku za kazi wapo makanisani mchana wa jua kali wametembea huku mchungaji amepaki chuma kikali anawajaza vitu vya ajabu waumini waamini kila kitu ni pepo, hii naona inapelekea hata kushusha thinking capacity kwenye utafutaji, mtu amekaririshwa duniani tunapita tu
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira na kuangalia mipira vibanda umiza
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa kumkuta binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria vijana kukimbia majukumu kwa kukosa vipato vya kulea watoto
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara
Ni kweli ila situmii ukabilaErythrocyte tupe ufafanuzi juu ya hili niliwahi kuona comment yako ukisema kua umeajiri vijana wengi sanaa
Alafu wewe sugu, acha kupenda sifa kwa ajira gani ulotoa zaidi umeajiri ndugu wa ukweni tuNi kweli ila situmii ukabila
Upo sahihi Sugu Aliwaaribu na Kawaharibia mjiMbeya ina ardhi na hali ya hewa nzuri sana kwa kilimo, hata biashara za kilimo kwa mikoa mengine. Nilichogundua pale Mbeya vijana wengi wanalewa to the maximum na siasa zimewaharibu kabisa. Wanachoamini ni kwamba ipo siku serikali itakuwa inagawa hela bure kwa kila kijana.
Mimi siyo SuguAlafu wewe sugu, acha kupenda sifa kwa ajira gani ulotoa zaidi umeajiri ndugu wa ukweni tu
Mama anatosha.Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna makanisa mengi sana tena ni ya kilokole, Kwa observation niliyofanya nayo yanachangia hali hii, unakutana na watu kibao siku za kazi wapo makanisani mchana wa jua kali wametembea huku mchungaji amepaki chuma kikali anawajaza vitu vya ajabu waumini waamini kila kitu ni pepo, hii naona inapelekea hata kushusha thinking capacity kwenye utafutaji, mtu amekaririshwa duniani tunapita tu
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira na kuangalia mipira vibanda umiza
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa kumkuta binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria vijana kukimbia majukumu kwa kukosa vipato vya kulea watoto
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara
Kuhusu makanisa ni kweli hiyo ni changamoto Lakini ajira ni tatizo la nchi mzima vijana wanajishughulisha na kubetMiezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna makanisa mengi sana tena ni ya kilokole, Kwa observation niliyofanya nayo yanachangia hali hii, unakutana na watu kibao siku za kazi wapo makanisani mchana wa jua kali wametembea huku mchungaji amepaki chuma kikali anawajaza vitu vya ajabu waumini waamini kila kitu ni pepo, hii naona inapelekea hata kushusha thinking capacity kwenye utafutaji, mtu amekaririshwa duniani tunapita tu
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira na kuangalia mipira vibanda umiza
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa kumkuta binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria vijana kukimbia majukumu kwa kukosa vipato vya kulea watoto
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara
kilimo hiki ambacho unaambiwa ukivuna tunza kwanza ndani, kina changamoto sana kwa sasaMbeya ina ardhi na hali ya hewa nzuri sana kwa kilimo, hata biashara za kilimo kwa mikoa mengine. Nilichogundua pale Mbeya vijana wengi wanalewa to the maximum na siasa zimewaharibu kabisa. Wanachoamini ni kwamba ipo siku serikali itakuwa inagawa hela bure kwa kila kijana.