Watu wa Mbeya wanapenda sana mpira, nje ya Dsm ndio mkoa wenye matawi mengi zaidi ya Yanga na Simba, Niliambiwa hapa Mbeya kukiwa na mechi ya Yanga au Simba nenda saa moja kabla lasivyo huwezi kupata nafasi ya kukaa, na nikaoneshwa video ya msimu uliopita mechi ya Simba watu walikuwa nje ya uwaja wanalalamika wamenunua tiketi ila hakuna nafasi kabisa uwanja wote umejaaDaah kaka mimi mbeya ni home hapo kwenye suala ikifika saa kumi watu wakaangalie mpira hasa timu za simba na yanga uko sahihi kabisa
Mbeya CBD ndo nini?Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI.
Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta
Mbeya kuna makanisa mengi sana tena ni ya kilokole, Kwa observation niliyofanya nayo yanachangia hali hii, unakutana na watu kibao siku za kazi wapo makanisani mchana wa jua kali wametembea huku mchungaji amepaki chuma kikali anawajaza vitu vya ajabu waumini waamini kila kitu ni pepo, hii naona inapelekea hata kushusha thinking capacity kwenye utafutaji, mtu amekaririshwa duniani tunapita tu
mitaani kuna vijana wengi wanaosubiri ifike saa kumi kwenda kucheza mpira na kuangalia mipira vibanda umiza
Kuna kiwango kikubwa cha mabinti wengi kuwa na watoto wanaowalea kivyao bila ajira rasmi, Mitaa ya Mbeya ni kawaida kabisa kumkuta binti mwenye miaka 19 kama hasomi basi jua tayari ana mtoto, hii ni hali inayoashiria vijana kukimbia majukumu kwa kukosa vipato vya kulea watoto
Maduka mengi ya Mbeya hasa Mwanjelwa wamiliki ni watu wa mikoa ya nje hasa Wakinga, hali inayoonyesha kuwa wenyeji walio wengi ambao ni wasafwa na wanyakyusa bado wapo nyuma kwenye shughuli za biashara
Sio hivyo tu unaweza ukavuna alafu mzigo ukiufikisha dar madalali wanakupangia bei ya mazao yako uliyolima kwa gharama zako.kilimo hiki ambacho unaambiwa ukivuna tunza kwanza ndani, kina changamoto sana kwa sasa
Hili ni janga yaani shughuli za uzalishaji zinasimama kwasababu ya kuwaangalia watu wanakimbizana.Watu wa Mbeya wanapenda sana mpira, nje ya Dsm ndio mkoa wenye matawi mengi zaidi ya Yanga na Simba, Niliambiwa hapa Mbeya kukiwa na mechi ya Yanga au Simba nenda saa moja kabla lasivyo huwezi kupata nafasi ya kukaa, na nikaoneshwa video ya msimu uliopita mechi ya Simba watu walikuwa nje ya uwaja wanalalamika wamenunua tiketi ila hakuna nafasi kabisa uwanja wote umejaa
Hujafika Morogoro wewe. Kote uko nimefika, Morogoro kwa mara ya kwanza nilikutana na bibi wazee wanafuatilia AFCON tena zile mechi za mtoano.Watu wa Mbeya wanapenda sana mpira, nje ya Dsm ndio mkoa wenye matawi mengi zaidi ya Yanga na Simba, Niliambiwa hapa Mbeya kukiwa na mechi ya Yanga au Simba nenda saa moja kabla lasivyo huwezi kupata nafasi ya kukaa, na nikaoneshwa video ya msimu uliopita mechi ya Simba watu walikuwa nje ya uwaja wanalalamika wamenunua tiketi ila hakuna nafasi kabisa uwanja wote umejaa
Huwezi kulinganisha na Mbeya, hapo Moro hawana hata timuHujafika Morogoro wewe. Kote uko nimefika, Morogoro kwa mara ya kwanza nilikutana na bibi wazee wanafuatilia AFCON tena zile mechi za mtoano.
Mtaani kila kona kuna uwanja wa mpira, kila kijana ana timu ya mtaani ya kuchezea. Wazazi wapo cool na kutenga muda watoto wacheze. Nikajua kumbe ndio maana Moro ina vipaji vingi sana.
Ni changamoto hapoSio hivyo tu unaweza ukavuna alafu mzigo ukiufikisha dar madalali wanakupangia bei ya mazao yako uliyolima kwa gharama zako.
Huwezi kulinganisha na Mbeya, hapo Moro hawana hata timu
Mbeya ni kiwanda, kuna muda inaingiza hadi timu 3 Ligi kuu
Mbona haujamaliza kusimulia?Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana