Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 598
- 1,151
Kwenye maisha tunayoishi kuna asilimia kubwa ya watu hatujafanikiwa kushuhudia kitu kama hiki na hivyo kufanya maswali kua mengi vichwani mwetu pindi tunapopata matatizo na matatizo hayo kuhusishwa na ushirikina.
Hali hiyo hutupa wakati mgumu kujua ni njia gani sahihi ya kukabiliana na tatizo.
Vipi kuhusu wewe;
Umewai kukutana na kitu kama hiki?
Umewai kurogwa na ukathibitisha kua umerogwa(ulithibitishaje)?
Au umewai kumroga mtu na kweli ukaona matokeo yake?
TUPE EXPERIENCE