Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mzee sijasema nimerudiana nae lakini. Alirudi nikakataa kumsameheMimi hayajawai nikuta..Kwene kikao cha wanaume kijacho unahitajika. Kila cku mnaambiwa ex harudiwi afu unakuja kutuambia ati kaomba msamaha karudi. Na huyo rafiki yako ni ukweli unamnyanyasa coz kwa nin hukumfundisha kutongoza awe na wake. Fanya hivi tafuta mtu ambae n adui yako #1 hakikisha anakua rafik yako na mtadumu kwa urafiki na huyo ex wako muache nakwambia utakuja kulia zaid ya hapa.
Hasa urafiki na watu wa jijji la Dar es SalaamUrafiki wa sasa upo ki masilahi zaidi, hakuna urafiki wa kweli siku hizi.
Rufaa nakatia wapi?Hii kesi yako ikatie rufaaa tuko bize na msiba
ukiniita mzee weka na baba mbele iwe mzee baba. Ok bro ngoja tu nkwambie ukweli na labda unaweza kusaidika. Ukiwa na mwanamke afu umtambulishe kwa marafiki zako ikawa bahati ukapata cmu ya dem wako ukakuta kasave jamaa zako kwa majina yao afu mbele yake kaweka majina kama best, shem langu, na viemoji vya malavidavi haki huko sio wako n wa group. Na mda mwingi sis wanaume tunaweza kujenga urafik kwa lisa limoja na ukawa urafik wa kweli kisa tu nimekuona na pisi kali so nakutumia wewe ili niwe karbu nae. Kuna mambo mawili ambayo hupaswi kuyajumuisha kwenye urafik wenu cha kwanza pesa pili wanawake. Ukiona mtu kaja kwako kisa umepata ela na kipnd ulikua huna alikua hakujui think twice bro. Na ukiona rafk yako kila mkikutana anakuuliza ati vip shem anaendeleaje jua kuwa kuni kiv nyuma ya pazia. Kwa maisha ya sasa n wewe uamue uwe na marafk au usiwe nao.Mzee sijasema nimerudiana nae lakini. Alirudi nikakataa kumsamehe
Na hapa kila mtu atalalamika kutendwa tu ,hasemi nilikuwa snitch wamba wakanikataanipo hapa kusoma visa vya marafiki nyokaππππ
we haujawahi kutendwa na marafiki? hebu tusimulieπ π πKazi ipo pole sana mdau
π π π π π umeona eeeh humu wamejaa watakatifu tuNa hapa kila mtu atalalamika kutendwa tu ,hasemi nilikuwa snitch wamba wakanikataa
Mie naweza kua nimewahi kuumiza watu kwa kujua au hata kwa kutojuawe haujawahi kutendwa na marafiki? hebu tusimulieπ π π